Tuesday, 23 February 2016

MO MUSIC ASHINDA KESI DHIDI YA MPENZI WA ZAMANI.





Mahakama ya mjini Dodoma imefuta kesi ya utapeli iliyokuwa ikimkabili Msanii wa bongo Fleva,Mo music ambapo msanii huyo alikuwa akituhumiwa kama mtuhumiwa wa pili.
Kesi hiyo iliibuka baada ya mpenzi wa zamani wa Mo Music kumtapeli mwanaume mmoja anayesadikiwa kuwa ni mpenzi wake mpya pesa zaidi ya shilingi milioni 30 mwishoni mwa mwaka jana huko dodoma na kuaminika kuwa alimpelekea msanii huyo pesa hizo.
Mo Music amekana na kusema si kweli kwamba alicheza mchezo huo na mpenzi wake wa zamani na kuongeza kuwa mwanamke huyo amekuwa akimletea kadhia mara kwa mara hasa pale anapotaka kutoa wimbo hata kufikia hatua ya kuzusha kuwa ana ujauzito wa msanii huyo

Wednesday, 10 February 2016

SOMA HAPA OMMY DIMPOZ ALICHOMJIBU NEY WA MITEGO.




Image result for OMMY DIMPOZ NA NEY WA MITEGO

Rapa Nay wa Mitego amepata majibu makali kutoka kwa Ommy Dimpoz baada ya rapa huyu kutumia wimbo wake mpya kumdiss Ommy Dimpoz.
Kwenye wimbo huu wa ‘Shika Adabu Yako’ Nay wa Mitego anadai kuwa Ommy Dimpoz ni SHOGA.
Huyu jamaa anajiita Dimpoz, Pose kwa Pose, Wanae wanalalamika hawamjui shemeji, Kitaani kuna tetesi mwana hapigi mechi, Mara oh jogoo hawiki, huwa haonyeshi shemeji
Baada ya kauli hiyo, Ommy Dimpoz kupitia instagram ameandika hivi….
” Barua ya wazi kwa Neema wa Mitego kwanza pole kwa Malezi ya Watoto ambao mama zao wamekukimbia, hakuna Mwanamke ambae anaweza kuishi na mwanaume mwenye tabia za kike kama zako 😂 inatakiwa ujiulize una tatizo gani maana km umaarufu mavi unao,nyumba unayo,magari unayo na hivyo ndo vitu dada zetu wanapenda lakini kwanini wanakukimbia pili kila nikiwaangalia watoto naona kabisa hamjafanana kuna umuhimu wa DNA Da Neema trust me. Hiyo video nimekuwekea hapo juu ni kukuonyesha kuwa mimi na wewe Ligi zetu hazifanani 😄 vitu navyokula mimi wewe utaishia kuviona kwenye TV maana kuvipata mpaka uwe Unapanda sana Ndege sasa mimi najaza passport ya Tatu wakati wewe hata kurasa 4 za passport yako ya kwanza hujamaliza 😜 Sasa wewe ushazoea wanawake zako wa jumuiya basi unataka kila mtu apost demu wake haya sasa Chuma hiko kimetoka ulaya kuja kufuata dodoki 😋🍆nimekujibu ili nikusaidie promo ya nyimbo yako Atleast upige na Vishoo baba 😄😄 Sema nakuomba usirushe ngumi tu maana nakujua Mzee wa Kupanic Maana katika hao mabebi mama wako kuna mmoja nilishapitaga nae Uliza vizuri atakwambia kama jogoo anawika au vipi 😂Ukitaka kudownload wimbo wa @naytrueboy #ShikaAdabuYako nenda kwenye bio ya Da Neema 😊 .













MENEJA WA YAMOTO BAND ASEMA NYUMBA IPO KWENYE HARAKATI ZA MWISHO.


Meneja wa bendi ya Yamoto ,Chambuso amesema kuwa ahadi yao ya kuwapa nyumba vijana wa bendi hiyo iko pale pale na kuweka wazi kuwa nyumba hizo ziko kwenye hatua za mwisho.
Nyumba ziko kwenye finishing.Kwa sababu tumetengeneza kijiji Kisewe mbele ya uwanja wa Azam” alisema meneja
huyo kwenye mahojiano ya Yamoto Band kwenye kitu kimoja cha redio.
Kwa upande mwingine Yamoto band wamesema kuwa hakuna bendi yoyote inayowatishia hapa Tanzania zaidi ya Msondo Ngoma pia vijana wa bendi hiyo wamekanusha tetesi kuwa usimamizi wa bendi hio unawanyonya na kusema mpaka sasa maisha yao yanaenda poa









Tuesday, 2 February 2016

KUMBE DRAKE NAYE NI NOMA KWA KUMILIKI WANAWAKE.


Rapa Drake, Rick Ross, & Fetty Wap wametajw akuwa wasanii wenye tabia ya kubadilisha wapenzi mara kwa mara kiasi cha kwamba huwezi kujua hata kama wanakaa nao kwa zaidi ya mwezi mmoja.
Hivi karibuni rapa Drake alionekana na mpenzi mpya kwenye mchezo wa CSULB akiwa na mcheza volleyball Ashley Murray.
Inasemekana wawili hawa walikuwa na mahusiano zamani na sasa wamerudiana.
  drake 2 drake 3

DRAKE AJIBU KWA MICK MILL HIVI LOADING............


Rapa Drake anasikika kwenye wimbo mpya wa “Summer Sixteen” akiongelea issue tatu ikiwa moja kuhusu Meek Mill, nyingine ni kujifananisha na Jay Z na Kanye huku ya tatu akimchana Barack Obama kuhusu uzito wa mashairi yake.
Kuhusu Meek Mill Drake anasema
I let the diss record drop you were standing right below me, nigga,” Drizzy raps. “We must have played it a hundred times, you was going to bed / Why would I put on a vest I expect you to aim for the head? / I coulda killed you the first time / You don’t have to try to say it louder nigga / We could hear you the first time / It’s nothing personal I would have done it to anyone.
Katika kumchana Rais Barack Obama baada ya rais huyu kusema Kendrick ni Mkali kuliko Drake,
Tell Obama that my verses is just like the whips that he in / The bullet proof,”
Kuhusu Jay Z na Kanye West,Drake anasema “I used to want to be on Roc-A-Fella, then I turned into Jay,” raps Drake. “Now I got a house in L.A., now I got a bigger pool than ‘Ye / And look man, ‘Ye’s pool is nice, mine’s just bigger is what I’m sayin’.”
Album mpya ya Drake ‘Views From The 6’ imetajwa kuwa inatoka mwezi wa nne 2016.

PELLEGRINI ASCHA MLANGO WAZI CITY.



Meneja wa Manchester City Manuel Pellegrini amethibitisha kuwa ataondoka Etihad mwisho wa msimu.
Pep Guardiola atakuwa meneja mpya wa Manchester City. Guardiola amesaini mkataba wa miaka mitatu Etihad.
Guardiola, atachukua majukumu hayo kuanzia Julai, klabu hiyo ya ligi ya premier imetangaza. Meneja wao wa sasa Manuel Pellegrini ataondoka klabu hiyo Juni 30 baada ya kumalizika kwa msimu wa sasa.
“Kutokana na heshima yetu kwa Manuel Pellegrini na wachezaji, klabu ingependa kufanya wazi uamuzi wake ili kuondoa nafasi ya uvumi,” City wamesema kupitia taarifa kwenye tovuti yao.

JUSTIN BIEBER ATOA KALI YA MWAKA.

Pop staa kutoka Canada Justin Bieber amefumwa kwenye mgahawa wa mashiga ulioko North Hollywood. Justin Beiber aliingia kwenye mgahawa wa Club Cobra jumamosi saa tatu usiku akiwa na mlinzi wake mmoja.
Bouncer wa club hio amesema anaimani kuwa Justin Beiber hakujua ulikuwa mgahawa wa mashoga.

DAVIDO ATOA PESA KWA MASHABIKI WAKE LIVE.



Staa wa muziki kutoka Nigeria atatoa Naira milioni 2 kwa shabiki kama sehemu ya kusheherekea dili lake la Sony la dola milioni moja.
Davido ambaye yuko mjini New York ameahidi kufanya sherehe mbili kubwa kama asante kwa mashabiki kwa dili lake la Sony Music na kuumpa naira milioni 2 shabiki wake wa ukweli.

50 CENT AMCHIMBA MKWARA MICK MILL KUHUSU NICK MINAJ






Akiwa kwenye show mjini New York rapa 50 Cent amezidi kumdiss Meek Mill kwa kumtumia mpenzi wake Nicki Minaj. Pamoja na kutangaza kuwa hatakuwa na beef na mtu ambaye hajauza zaidi ya kopi milioni moja 50 Cent anasema
All you can do is run to Nicki, If a crazy nia at the door, banging on the door and the nia send his bitch first
Album mbili za kwanza za 50 Cent “Get Rich or Die Tryin na The Massacre” zimeuza zaidi ya kopi milioni moja.