Tuesday, 5 April 2016

Hekta 5000 za ardhi ya kijiji cha luhanga wilayani mbarali zarudishiwa kwa wananchi kutoka kwa wawekezaji.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makala akizungumza na wananchi wa kijiji cha Luhanga Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya kwa lengo la kutoa tamko la serikali juu ya ulejeshwaji wa ardhi ya wananchi hao hekta 5000 ambazo zilichukuliwa na wawekezaji.

Waziri prof. Mbarawa atoa siku nne kwa TRL kuvunja uzio..

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (katikati), akifafanua jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Bw. Aggrey Mwanri (kushoto), wakati alipomtembelea ofisini kwake. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini, Bw. Suleiman Kumchaya.

Fastjet yatoa zawadi shindano la pasaka.


JUMLA ya washindi 12
wamepewa tiketi za bure za safari ya ndege katika shindano lililodhaminiwa na
Festjet Tanzania.

Tiketi hizo ambazo

Majaliwa akutana na viongozi wa sabmiller.

SUB1
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akislimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SABMiller Africa, Bw. Mark Bowman kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Aprili 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Kamati ya bunge yatembelea wizara ya mambo ya ndani ya nchi.

LUG1
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akisalimiana na Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Kangi

Kesi imemgeukia Lyatonga Mrema, anatakiwa kulipa MILIONI 40 kabla ya tarehe 5 June


Kesi ya Lyatonga Mrema kupinga ushindi wa Ubunge wa James Mbatia jimbo la Vunjo ilikua Mahakamani tena April 4 2016 ambapo jipya lililotangazwa ni kwamba Mahakama kuu