Friday, 15 April 2016

Watumishi HEWA Jijini Arusha Waongezeka na Kufikia 300.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda amesema idadi ya watumishi hewa mkoani humo imeongezeka baada ya uchunguzi wa awali huku baadhi ya waliokuwa wakifuja fedha za serikali kwa kudanganya wakiomba kuzirejesha.

Shamsa Ford: Simtaki Nay wa Mitego!


Staa wa filamu Tanzania Shamsa Ford amesafisha hewa baada ya kuwepo kwa uvumi wa yeye na Nay wa Mitego kutamaniana kurudisha penzi lao.

Hemed PHD: Sitaacha Kujipodoa kwa Hofu ya Watu.

MWIGIZAJI wa filamu na msanii wa Bongo Fleva, Hemed Suleiman ‘Hemedy PhD’, amesema kwamba hataacha kutumia vipodozi kwa kuwa humuweka nadhifu na humwongezea mvuto wa mwili wake.

Idris Sultan aungana na Feza Kessy kama watangazaji wapya wa Choice FM.

Idris Sultan ameungana na Feza Kessy kama watangazaji wapya wa Choice FM.

Aunty Ezekiel kasema ni kweli gari lake limekamatwa TRA…. kinachofata?


Zimesambaa taarifa na picha kadhaa kuhusu gari la mwigizaji wa bongo movie Aunty Ezekiel kushikiliwa na mamlaka ya mapato

PICHA Mr. Blue kafunga ndoa na mama watoto wake.


Staa wa muziki wa Bongo Fleva Kheri Sameer ambaye wengi tumemzoea kwa jina la Mr Blue, leo April 14 2016 ameingia

Wanarorya watakiwa kuwekeza Rorya.

0.1Mwenge wa Uhuru 2014 wilayani Rorya27

Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mhe. Felix Lyaniva ametoa wito kwa wanarorya wanaoishi Jijini Dar es salaam kuwekeza kwenye fursa zilizopo katika wilaya hiyo iliyopo mkoani Mara.

Dk.Abdalla Possi mgeni rasmi matembezi ya hiyari kuazimisha siku ya watoto wenye usonji.

wal
Mwenyekiti wa Chama cha Kuhudumia Watu Wenye Usonji Tanzania (NAPAT) Dkt.Stella Rwezaula(wa tatu kulia) akiongea na waandishi wahabari kuhusu matembezi ya hiyari kuadhimisha siku ya usonji Aprilli 16, kushoto ni Katibu wa Chama cha Kuhudumia Watu Wenye Usonji (NAPAT) Bi. Ella Mgalla na wengine ni wajumbe.

WIZARA YAKEMEA MAUAJI YA WAZEE NZEGA

download (2)
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto imesikitishwa na kulani viakli matukio ya mauaji ya wazee  kumi (10) yaliyotokea wilaya ya Nzega, mkoani Tabora kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Machi, 2016.

WABUNGE WAPONGEZA KUANZISHWA KWA TADB.

mk1
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Florens Turuka (Kulia) akizungumza mbele ya Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi wakati wa kikao cha pamoja kati ya Kamati hiyo na viongozi kutoka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi na menejimenti ya TADB.

RAIS WA SUDANI KUSINI, MHE. JENERALI SALVA KIIR MAYARDIT AWASILI NCHINI.

sal1
Rais wa Sudani Kusini, Mhe. Jenerali, Salva Kiir Mayardit (kulia) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku moja, 15 Aprili, 2016 Jijini Dar es Salaam.

TIMU YA SEVILLA YATINGA NUSU FAINALI YA UROPA KWA USHINDI WA MATUTA


Timu ya Sevilla inaendelea kupambana kutinga fainali za Uropa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya jana kuibuka na ushindi wa penati 5-4 dhidi ya Athletic Bilbao na kutinga nusu fainali ya ligi ya Uropa.

TAASISI YA BENJAMIN MKAPA YAFANYA HARAMBEE, YAKUSANYA BIL.1.17.

Mohammed Dewji na Benjamin William Mkapa
Mwanzilishi wa Taasisi ya Mkapa (Mkapa Foundation), Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin William Mkapa (kushoto), mgeni rasmi Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), Mohammed Dewji (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya Mkapa Foundation, Balozi Charles Sanga wakiwasili katika sherehe za miaka 10 ya Mkapa Foundation zilioambatana na harambe ya kutunisha mfuko wa taasisi hiyo zilizofanyika kwenye ukumbi wa Golden Jubilee Tower.

WABUNGE WAPONGEZA KUANZISHWA KWA TADB.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Florens Turuka (Kulia) akizungumza mbele ya Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi wakati wa kikao cha pamoja kati ya Kamati hiyo na viongozi kutoka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi na menejimenti ya TADB.

LIGI KUU KUENDELEA KUTIMUA VUMBI WIKIENDI HII.


Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo minne kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini, huku kila timu ikisaka ushindi katika michezo hiyo ili kujiweka katika mazingira mazuri kwenye msimamo wa ligi.

NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA, REAL NA BAYERN KUANZIA UGENINI'


Ratiba ya nusu fainali ligi ya mabingwa barani Ulaya imetolewa kama inavyoonekana hapo juu, ambapo Manchester City baada ya kufanikiwa kutinga hatua hiyo sasa watakuwa wenyeji wa Real Madrid katika mchezo wa kwanza wa hatua hiyo itakayochezwa uwanja wa Etihad nchini Uingereza. 

MALINZI AMPONGEZA RAVIA KWAKISHINDO.


Rais wa Shirikisho la Mpira wa Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amempongeza Ravia Idarous Faina wa kuchaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Soka Visiwani Zanzibar (ZFA) katika uchaguzi ulifanyika jana katika ukumbi wa Uwanja wa Gombani, Pemba.

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KUHUSU MATUMIZI YA DARAJA LA KIGAMBONI.


kigamboni
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inapenda kutaarifu Umma kuwa Daraja la kigamboni litaanza kutumika siku ya Jumamosi tarehe 16, Aprili, 2016 kuanzia saa 12:00 asubuhi.

SIMBA KUSHIRIKI KOMBE LA NILE BASIN .


Klabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam imethibitisha kushiriki michuano ya Kombe la Nile Basin Club Championship, inayoandaliwa na Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) itakayoanza kutumia vumbi Mei 22, 2016 nchini Sudan.

WAZIRI WA UCHUKUZI WA UBELGIJI AJIUZULU KWA KUPUUZIA USALAMA WAZIRI WA UCHUKUZI WA UBELGIJI AJIUZULU KWA KUPUUZIA USALAMA.

Waziri wa Uchukuzi wa Ubelgiji amejiuzulu kufuatia tuhuma za kudharau mdororo wa usalama katika uwanja wa ndege wa Brussels kabla ya mashambulizi ya Machi 22.

NUSU FAINALI LIGI YA UROPA LIVERPOOL KUVAANA NA VILLARREAL.

Timu ya Liverpool imepangiwa kuvaana na Villarreal katika mchezo wa nusu fainali ya ligi ya Uropa.