Showing posts with label VIDEO. Show all posts
Showing posts with label VIDEO. Show all posts

Tuesday, 2 February 2016

JUSTIN BIEBER ATOA KALI YA MWAKA.

Pop staa kutoka Canada Justin Bieber amefumwa kwenye mgahawa wa mashiga ulioko North Hollywood. Justin Beiber aliingia kwenye mgahawa wa Club Cobra jumamosi saa tatu usiku akiwa na mlinzi wake mmoja.
Bouncer wa club hio amesema anaimani kuwa Justin Beiber hakujua ulikuwa mgahawa wa mashoga.