Monday, 25 April 2016

wimbo mpya wa Pia Mia ‘Underneath’ Enjoy.


pia-mia
Hii single mpya ya staa wa Do It Again’

Paul Okoye wa kundi la P-Square Anaswa South Africa Akiwa Amevaa Kofia ya WCB Wasafi ya Diamond..

Ukimuona Paul Okoye wa kundi la P-Square akiwa amevaa kofia ya WCB na yupo Johannesburg, Afrika Kusini ambako Diamond yupo huko tangu mwanzoni mwa wiki hii kuzindua video ya Colors of Africa, ujue mambo yameiva.

DC HAPI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA ALI HASSAN MWINYI.



H1
Mkuu wa Wilaya Kinondoni Mhe. Ally Hapi akikagua matengenezo ya  barabara ya Ali Hassan Mwinyi leo tarehe 25 Aprili 2016 jijini Dar  es Salaam

SOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya April 25, Ikiwemo Takururu Kuchunguza Mabilioni ya Kikwete.

Habari Mbaya Samatta lamkuta janga kubwa story ipo hapa.

Jumapili April 24 usiku timu ya Genk ilishuka dimbani kuchuana na Gent lakini taarifa mbaya kuhusu star wa Bongo kwenye ligi ya Ubelgiji Mbwana Samatta ni kwamba, amepata majeraha katika mchezo huo ambao alianza kwenye kikosi cha kwanza lakini hakuweza kumaliza dakika zote 90.

Mwafrika wa Kwanza Kushinda Tuzo ya Mwanasoka Bora wa Kulipwa Ulaya Ametangazwa, Amewahi Kuifunga Tanzania

Usiku wa April 24 imetangazwa good news  kwa soka la Afrika, huu sio ushindi wa taifa la mchezaji husika ila  ni fahari ya Afrika nzima, winga mshambuliaji wa kimataifa wa Algeria anayeichezea klabu ya Leicester City ya Uingereza Riyad Mahrez ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya PFA 2015/2016 (Professional Footballers Association).

Hii video mpya ya Mafikizolo na Diamond Platnumz ‘Colours Of Afrika’ Enjoy.



Millen-Magese-Nhlanhla-Diamond-Platnumz-Babalwa
Millen Magese,Nhlanhla,Diamond Platnumz,Babalwa
Hii ni video mpya ya Mafikizolo na Diamond Platnumz  ‘Colours Of Afrika’, wimbo ulifanyika June 2014 mjini Johannesburg Afrika Kusini kwenye zile studio za Music Phioner wa South Africa Oskido.

Serikali yaipongeza Quality Group kwa kuanzisha Kituo cha Urithi wa Utamaduni Tanzania (TCCH)

O1
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (mwenye suti nyeusi) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Kituo cha Urithi wa Utamaduni Tanzania (TCCH)   wakati wa hafla ya uzinduzi wa kituo hicho leo jijini Dar es Salaam.

Nape Ataja Majipu Manne Katika Sanaa Nchini,aahidi Kuyatumbua.

Waziri wa Habari,Utamaduni,sanaa na michezo nchini,Nape Nnauye ametaja mambo manne ambayo ni vikwazo ndani ya sekta ya sanaa ya filamu nchini na kuyaita kwamba ni majipu huku akisisistiza kwamba serikali itakwenda kutunga sera ya sekta hiyo katika mwaka wa fedha 2016/17.

PSPF yavuna wanachama wengi wilaya ya Temeke.


 Mtangazaji wa kipindi cha wanawake live kulia Bi. Joyce Kiria kushoto akionyesha kitambilisho  chake cha uchangiaji wa hiari kutoka kwa Menejawa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari wa  mfuko wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe kushoto wakati

Vyeti vya kuzaliwa havitolewi kwa misingi ya kisiasa.

01ZPBC-IM1001-pemba-crown-hotel-1475

SERIKALI ya Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba imekanusha  taarifa zilizotolewa na wananchi ya kwamba vyeti vya kuzaliwa katika Wilaya hiyo hutolewa kwa misingi ya kisiasa .

Timu nne zatinga nusu fainali katika Mei Mosi.

OLI1 
Kikosi cha Tamisemi kilichoingia nusu fainali katika michezo ya Mei Mosi.

Maafisa usafirishaji waaswa kuwa wazalendo.

US1
Kaimu Mtendaji Mkuu wa TEMESA Mhandisi Manase Ole Kujan akifungua kikao cha maafisa usafirishaji wa Wizara,Idara na Taasisi mbalimbali za Serikali kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Uzalishaji na Matengenezo TEMESA Mhandisi Silivester Simfukwe na kulia ni Mhandisi Elirehema Mmari.

TAKURURU Washtuka Sasa Yaanza Kuchunguza Mabilioni ya Kikwete.

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imeanza kuchunguza fedha za uwezeshaji maarufu kama ‘Mabilioni ya JK’ ambazo hazikurejeshwa na wakopaji nchi nzima.

Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG AKABIDHI RIPOTI.

G1 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Juma Assad akionesha ripoti ya ukaguzi ya mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2015 kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) leo mjini Dodoma ili iweze kujadiliwa na wabunge katika Bunge la bajeti ya mwaka 2016/2017.
G2 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Juma Assad akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo mjini Dodoma juu ya ripoti ya ukaguzi ya mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2015 ili iweze kujadiliwa na wabunge katika Bunge la bajeti ya mwaka 2016/2017.

CAG Kuanika Mafisadi Bungeni Leo Wakati Akiwasilisha Ripoti Yake.


Mdhibiti  na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) leo anawasilisha bungeni ripoti ya mwisho ya ukaguzi wa hesabu za serikali ya mwaka 2014/15.

Hii hapa video mpya ya Lady Jaydee ‘NdiNdiNdi’ Enjoy.


Jide 2
Hii video mpya ya Lady Jaydee, Ilitambulishwa Ijumaa ya April 22 2016 na #Sammisago, Wimbo ni ‘Ndindindi’ na video imeongozwa na Justin Campos.

Raymond Asimulia Jinsi Alivyomshawishi Diamond Hadi Kumchukua WCB (Video)


Raymond amesimulia jinsi ambavyo alimshawishi Diamond hadi kuamua kumchukua kwenye label yake, WCB.

Gigy Money Noma sana kaopoa Kigogo Mwenyewe Adai Wameshibana.

Kazi ipo! Video Queen asiyeishiwa vituko Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ anadaiwa kuopoa kigogo ambaye ni mfanyabiashara wa madini, mkazi wa jijini Arusha ambaye ndiye mwandani wake anayempa jeuri kwa sasa.

Aina Mpya ya Uwizi wa Magari Dar es Salaam mjini akili.


Gari imeibiwa jana , 23/4/2016 Shopper plaza- Mikocheni, mida ya saa 9 mchana.Ni Volkswagen Tourge, Blue color... Kama umeiona au unajua ilipo au unajua chochote tafadhali piga number hii ‪+255 715 066 278‬ au toa ripoti polisi.

Rais Magufuli Ateua Makatibu Tawala wa Mikoa 26.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Aprili, 2016 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara.

Mirror Chini ya ya Wema Sepetu Umewaangusha Mashabiki Wako, Utawalipa Nini?

Marehemu Albert Mangwair alikuwa mtu wa mwanzo kutambua kipaji cha muziki alichokuwa nacho Mirror pamoja na Jordan.