Wednesday, 27 April 2016

WANAMTANDAO WAITAKA DAWASCO KUTUPIA JICHO TABAKA LA WASIOJIWEZA.

Mtendaji Mkuu wa Shirika la Maji safi na Usafi wa Mazingira jijini Dar es Salaam (DAWASCO) Mhandisi Cyprian Luhemeja akifurahia jambo na ujumbe kutoka  Mtandao Kijinsia Tanzania (TGNP) walipofika ofsini hapo kwa ajili ya kutoa shukrani zao.

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA UONGOZI WA BARAZA LA TAWLA NA UONGOZI WA SKAUT LEO

mak1 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na uongozi wa Baraza la Wanachama wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) wakati Uongozi huo ulipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo April 27,2016 kwa lengo la kumpongeza na pamoja na kumuelezea malengo na mikakati ya kiutendaji ya Chama hicho.

MJANE WA MWALIMU BABA WA TAIFA MAMA MARIA ATEMBELEA DARAJA LA NYERERE KIGAMBONI LEO.

Mama Maria Nyerere, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,  akiwa na mwanae Mhe. Makongoro Nyerere na msaidizi wake akifurahia mandhari wakati walipotembelea Daraja la Nyerere Kigamboni jijini Dar es salaam.

‘BANDARI YA DAR KUUNGANISHA SINGAPORE NA EAC’

WAZIRI wa Biashara na Viwanda wa Singapore, Dk. Koh Poh Koon, amesema wamepanga kutumia bandari ya Dar es Salaam kuwa kiunganishi cha biashara kati ya nchi hiyo na mataifa mengine ya Afrika Mashariki.

Dk. Koon ameyasema hayo leo (Jumatano, Aprili 27, 2016), wakati alipomtembelea Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ofisini kwake mjini Dodoma, na kwamba Singapore ipo tayari

Msanii wa Kenya aliyethibiti kurudia wimbo wa Khaligraph Jones.

Msanii anayechipukia kutoka Kenya ‘Alvina Gachugu’ amerudia wimbo wa rapa mkali  Khaligraph Jones ulioitwa ‘Naked’ akiujaza ma mashairi ya mahaba makali mpaka kupelekea mashabiki

Lil Kesh athibitisha kutengana na lebel ya Olamide.


Msanii wa lebel ya YBNL ya Olamide Lil Kesh amethibitisha kuwa mkataba wake na YBNL imeisha ila mahusiano yake na lebel hio bado yako powa.

Idara ya maji Uganda yamkaba Ex wa Zari ‘Ivan’,kosa alilofanya liko hapa.


Mfanya biashara maarufu kutoka Uganda anayeishi Afrika Kusini Ivan Ssemwanga ameingia kwenye skendo kubwa na Idara ya Maji ya nchini Uganda baada ya kukutwa na maji yaliyoonganishwa kwa wizi nyumbani kwake.

Victoria Kimani asema alijiunga na Chocolate City ili kuiteka Afrika zaidi.


Mwimbaji kutoka Kenya anayefanya kazi zake za muziki Nigeria Victori Kimani amesema lengo la kujiunga na lebel ya Nigeria ya Chocolate City ni kuteka mashabiki zaidi Afrika.

Sina Mpango wa Kurudiana na Siwema, Namsaidia tu – Nay wa Mitego.


Rapa Nay wa Mitego amefunguka na kuzungumzia nini kinaendelea baada ya kutangaza kumsaidia aliyekuwa mpenzi wake Siwema ambaye amehukumiwa kwenda jela miaka miwili kwa kosa la kumtukana shabiki kwenye mtandao wa kijamii.

ACT- Wazalendo Wamteua Juma Saanani Kuwa Kaimu Katibu Mkuu Kujaza Nafasi Iliyoachwa na Samson Mwigamba.


MAAZIMIO YA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO KUFUATIA KIKAO CHAKE CHA

Kigogo Aweka Majina Hewa Mradi wa Tasaf...Wananchi Wamtusua Jipu...

WANANCHI wamemkataa mwenyekiti wa kitongoji cha Mwanogi kijiji cha Bulima, Kata ya Nyashimo wilayani hapa katika Mkoa wa Simiyu, wakimtuhumu kuweka majina hewa katika mradi wa kuokoa kaya masikini unaosimamiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf).

SOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya April 27, Ikiwemp Majipu ya Jakaya ni Balaa.


Rita Ora naye alihusishwa kuchepuka na Jay Z, kajibu hivi..

Staa wa Rnb kutoka Uingereza Rita Ora amekunusha kuwa yeye ni “Becky” aliyeimbwa kwenye wimbo wa SORRY Wa Beyonce.
Rita alianza kuitwa ‘Becky’ baada ya kuvaa Brazia yenye picha za matunda ya malimao kama ilivyo album ya Beyonce.

Rapa YG asema anafuatiliwa na polisi baada ya kutoa diss kwa Donald Trump.

Rapa YG kutoka Compton ambaye alitoa diss track kwa mgombea urais nchini Marekani ‘Donald Trump’ akiwa na msanii Nipsey Hussle amesema anafuatiliwa na polisi sana kwa sasa.

Wimbo wa YG uliitwa “FDT (F**k Donald Trump)”

Mwanafunzi Amkaanga Kortini Polisi Anayedaiwa Kumbaka Katika Kibanda cha Ulinzi cha Benki.


Mwanafunzi wa kidato cha tatu, juzi alimkaanga askari polisi anayedaiwa kumbaka kwa kuieleza Mahakama jinsi alivyotendewa kitendo hicho katika kibanda cha ulinzi cha benki.

Lulu afanya yaajabu kweli Umevuka Mipaka Shika Adabu.


KWAKO muigizaji wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, hujambo? Unaendeleaje na shughuli zako za kila siku? Nisalimie mama yako maana naye kitambo kidogo hatujaonana. Ubize huu, we acha tu!

Video mpya ya Azealia Banks ‘The Big Big Beat’ itazame hapa.

Azealia Banks ametoa video ya wimbo wake mpya “The Big Big Beat.”

Jide Ray C Anahitaji Marafiki Sahihi Katika Kipindi Hichi Kigumu unajua nini kimempata kipo hapa.


STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ a.k.a Jide, amesema msanii mwenzake, Rehema Chalamila, anahitaji marafiki sahihi ambao watamsaidia katika kipindi hiki kigumu.

Rachel Roy akanusha yeye ndio ‘Becky’ aliyeimbwa na Beyoncé kwa kuchepuka na Jay.




Rachel Roy ambaye ni Ex wa Damon Dash amekanusha kuwa yeye ndio  “Becky aliyeimbwa na Beyoncé kwenye wimbo wa “Sorry” kwenye album ya LEMONADE kwa kitendo cha kuchepuka na Jay Z.

PROFESA NDALICHAKO AFUNGUA MAFUNZO YA ELIMU MKOANI IRINGA.

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako akifungua mafunzo kwa wakaguzi wa uhakiki ubora wa elimu Tanzania yaliyo anyika katika chuo cha walimu Kleruu leo

KIPA JOE HART AFANYA MAKUBWA MAN CITY YAPO HAPA.

Kipa Joe Hart ameendelea kuipa matumaini Manchester City kufikia mara ya kwanza Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuokoa vyema michomo miwili dakika za mwisho katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali dhidi ya Real Madrid uliomalizika kwa sare tasa.

MKUU WA WILAYA IRNGA ASHEREHEKEA MUUNGANO KWA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA KIJIJI CHA MUGABIKE TARAFA YA KALENGA.

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela akiwa katika Kijiji cha Magubike kata ya Nzihi Tarafa ya Kalenga kusikiliza kero za wana kijiji.