Wednesday, 27 April 2016

PROFESA NDALICHAKO AFUNGUA MAFUNZO YA ELIMU MKOANI IRINGA.

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako akifungua mafunzo kwa wakaguzi wa uhakiki ubora wa elimu Tanzania yaliyo anyika katika chuo cha walimu Kleruu leo
MKUU wa Mkoa Iringa, Amina Masenza  akimkaribisha Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako kufungua mafunzo hayo.
                           Mkuu wa wilaya ya Iringa, Richard Kasesela akizungumza jambo
Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa wakaguzi wa uhakiki ubora wa elimu Tanzania yaliyofanyika katika chuo cha walimu Kleruu leo.

No comments: