Msanii wa Kenya aliyethibiti kurudia wimbo wa Khaligraph Jones.
Msanii anayechipukia kutoka Kenya ‘Alvina Gachugu’ amerudia
wimbo wa rapa mkali Khaligraph Jones ulioitwa ‘Naked’ akiujaza ma
mashairi ya mahaba makali mpaka kupelekea mashabiki
kutafsiri visivyo.
Alvina Gachugu ameanza kuzushiwa kumtaka Khaligraph kimapenzi zaidi,
Haya ndio yalikuwa maneno yakle kuhusu issue hii …. ” Yeah so I covered
this song, let the politics begin! Khali, I want you… on my next track.
Let’s get… to the booth!”
Kumbe ilikuwa gia ya kutaka collabo tu.
No comments:
Post a Comment