Klabu ya Young
Africans itashuka dimbani kesho Jumamosi kucheza dhidi ya miamba wa
Misri Al Ahly hatua ya 16 bora katika Ligi ya Mabingwa barani Afrika
(CAF CL).
Friday, 8 April 2016
MASHABIKI AL AHLY WACHAFUA HALI YA HEWA TAIFA, WAPIGA MWANDISHI
MASHABIKI wa Al Ahly jioni hii wamevamia Uwanja wa Taifa ambako timu yao ilikuwa ikifanya mazoezi na baadaye kumpiga mpiga picha wa kituo kimoja cha habari.
SHABIKI WA ARSENAL AFANYA KUFURU KWENYE HARUSI YAKE.
Ushabiki wa soka umewafanya watu wafanye mambo mengi ambayo yamewashangaza na kuwashtua wengi, kuna ambao wanafikia hata kukatisha maisha yao kwasababu timu zao zinapata matokeo mabaya. Kuna wengine wamefanya vituko ambavyo havielezeki kwasababu ya kuzipenda timu zao na soka pia, sasa kutana na hii….
Shabiki mmoja wa Arsenal huko nchini Malaysia aliamua kufunga ndoa ya gharama kubwa weekend iliyopita wakati The Gunners wakiibuka na ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Watford ukiwa ni mchezo wa Premier League.
Ehemu ya kucheea musiki ilikuwa imepambwa na kiuwanja kidogo huku sehemu ya kulia chakula ya wawili hao ikipambwa na rangi za klabu ya Arsenal.
Wanandoa hao ambao walikuwa hawajavalia uzi wa Arsenal, walikuwa wamezungukwa na wapambe ambao walivalia jezi ya nyumbani ya wakali hao wa jijini London kwa ajili ya kupata picha za kumbukumbu.
Arsena iko nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Premier League lakini wakiwa bado na matumaini ya kutwaa ndoo ya EPL huku wakijua fika wanahitajikufanya kazi ya ziada kuiangusha Leicester City inayoongoza ligi pamoja na Spurs walio nafasi ya pili.
Angalia picha zaidi hapa chini kushuhudia kijana alivyoalivoipamba arusi yake kwa rangi za Arsenal na mambo mengine kibao yanayohusiana na mchezo wa soka
Kama ulipitwa na story ya Mukutano Wa Jumuiya ya Tawala Za mitaa Tanzania [ALAT] Wafanya kikao Dodoma
Hospitali ya Bagamoyo vifaa vya matibabu ni shida tupu.
Sserunkuma hakuwahi kuzungumza toka atemwe na Simba, haya ni baadhi ya mazito aliyotazungumza kutoka Kampala.
Kama ni shabiki wa soka la Bongo najua jina la Simon Sserunkuma litakuwa sio geni masikioni mwako hususani kwa mashabiki wa Simba. Sserunkuma ambaye anacheza nafasi ya winga wa kulia aliwahi kuitumikia Simba kuanzia mwaka 2014 na kuachwa mwishoni mwa mwaka 2015.
Samatta afanya makubwa KRC Genk yaibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya KV Oostende.
Wakuu nane wa wa benki wakamatwa kenya kisa maadili.
Sumatra haihusiki na vivuko zaidi ni mwendo wa utekelezaji tu.
Ukiona picha kama hizi unakumbuka nini enzi za masomo yako???
Mashabiki wa al ahly waanza vurugugu Taifa na mbwembwe kibao.
Mashabiki wa Al ahly waanza ruvugu zao washindwa kuvumilia kukaa nje ya uwanja wa taifa baada ya kuzuiwa na badala yake
Subscribe to:
Posts (Atom)