Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akijadiliana jambo na
Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti inayohusiana na
maendeleo ya Ustawi Nchini (REPOA) Professa Yadon M Kohi, kabla ya
kufungua Warsha ya 21 ya Mwaka kwa Wasomi na Watafiti wa mambo ya
maendeleo ya Uchumi wa Viwanda iliyoanza leo April 06,2016 katika Hoteli
ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar es salaam. |