Picha: Kubadili dhana ya Afrika kupitia sanaa
Maonyesho ya sanaa katika makavazi
ya Guggenheim mjini Bilbao, kaskazini mwa Uhispania, inalenga kuonyesha
kizazi kipya cha Waafrika ambao wanalipa bara hili mtazamo mpya.
Maonyesho hayo kwa jina Making Africa yanashirikisha wasanii 120.
Mmoja
wa wale ambao kazi zao zinaonyeshwa ni mpiga picha kutoka Senegal Omar
Victor Diop. Kazi zake huangazia kuonyesha mchanganyiko wa tamaduni
nyingi nchini humo. Hufanya kazi na wahusika, kama huyu Mame-Diarra
Niang kwenye picha ambayo Diop aliipiga kuonyesha sifa mbalimbali za
watu.Mpiga picha kutoka Msumbiji Mario Macilau hulenga kuonyesha