Harmonize asema haya kuhusiana kujihusisha na mambo ya kichawi ili kutoka kimuziki.
kamwe haamini kama kujihusisha na uchawi pamoja na ushirikina kunaweza kumsaidia msanii kutusua kimuziki.
Akihojiwa kwenye kipindi kimoja cha Tv msanii huyo amesema kuwa yeye anaamini Mungu na kipaji ndivyo vinaweza kumfanya mtu ang’are kisanii.
“Siamini kuwa uchawi una nafasi kubwa kwenye muziki,ingekuwa hivyo basi watoto wa waganga ndio wangekuwa wana hit peke yao,Mungu ndio kitu pekee cha kuamini pamoja na talent yako.
No comments:
Post a Comment