Monday, 14 March 2016

Nay wa Mitego amemdiss Gigy Money?Asema hana Sura nzuri lakini amejaliwa soma hapa..

GIGY MONEY378
Kumekuwepo na malalamiko

Majibizano makali kati ya Chris Brown na Ex wake Karrueche Tran yako hapa unajua nini kilitokea.



Chris-Brown-accompanied-Karrueche-Tran
Chris Brown na Ex wa Karrueche Tran

Jumba la kifahari la WizKid la zua gumzo kwa watu ko Los Angeles, California nchini Marekani.



Mitandao ya kijamii nchini Nigeia

Ndege ya kivita ya UAE yatoweka Yemen soma hapa..........

UAEImage copyrightGetty
Image
Umoja wa Milki za Kirabau umesema ndege

Malawi yateketeza tani 2 za pembe kutoka Tanzania hii ni hatari majangili wafanywaje...

Image copyrightAFP
Image caption
Malawi imeteketeza tani 2.6 ya pembe za ndovu

Teknolojia yatesa dunia Chombo chatumwa kutafuta uhai Mars.

ExoMarsImage copyrightAFP
Image captionChombo hicho kinatarajiwa kufika Mars Oktoba
Wataalamu wa anga za juu wa Ulaya kwa ushirikiano na wenzao wa Urusi wamerusha angani chombo cha anga za juu kitakachofanya utafiti kubaini iwapo kuna uhai sayari ya Mirihi, kwa Kiingereza Mars.
Chombo hicho kwa jina ExoMars Trace Gas Orbiter (TGO), kimepaa kutoka Baikonur nchini Kazakhstan saa 09:31 GMT.
Chombo hicho kitafanya uchunguzi kubaini iwapo gesi ya Methane ambayo imepatikana katika anga ya sayari hiyo inatokana na shughuli ya kijiolojia au inatokana na viumbe hai.
Mambo yote yakienda ilivyopangwa, wataalamu wanapanga baadaye kurusha mtambo wa kusafiri juu ya sayari, kwa kimombo rover, ambao utatumiwa kuchimba chini ya ardhi ya Mars.
Mtambo huo, utaunganishiwa nchini Uingereza, unaweza kurushwa mwaka 2018 au ukichelewa mwaka 2020.
Inakadiriwa kwamba itachukua roketi iliyobeba chombo cha TGO saa 10 ili kujiweka kwenye njia sahihi ya kuelekea sayari ya Mars.
Safari ya chombo hicho hadi Mars inatarajiwa kuchukua miezi saba, na sehemu ya chombo kwa jina Schiaparelli inatarajiwa kutua Mars tarehe 19 Oktoba. Sehemu ya setilaiti ya chombo hicho itazunguka sayari hiyo ikikusanya maelezo muhimu kuhusu hewa na gesi zinazopatikana katika sayari hiyo.
SetilaitiImage copyrightPA
Image captionSetilaiti ya ExoMars
Safari ya chombo hicho inafuatiliwa na wataalamu wa Shirika la Anga za Juu la Ulaya mjini Darmstadt, Ujerumani.
Mradi huo wa TGO ndio wa kwanza kabisa kufanywa na Ulaya na Urusi kwa pamoja kuelekea sayari ya Mars, ambayo ndiyo ya nne kutoka kwenye jua.
Uchunguzi wa awali wa setilaiti zinazozunguka dunia na rover ya Curiosity ya Marekani umebaini kuwepo kwa haidrokaboni ingawa za vipimo vya chini sana katika sayari hiyo.
Moja ya mambo yanayoweza kuwa yanachangia kuwepo kwa gesi hizo ni shughuli za kijiolojia ndani ya sayari hiyo ambapo maji yanaweza kuwa yanachanganyikana na mawe na kuzalisha gesi ya haidrojeni ambayo baadaye inageuka na kuwa methane.
Jambo jingine linaloweza kuwa linasababisha kuwepo kwa gesi hiyo ni kuwepo kwa viumbe hai.
SchiaparelliImage copyrightGetty
Image captionSehemu ya chombo hicho kwa jina Schiaparelli ndiyo itakayotua Mars
Sehemu kubwa ya gesi ya methane duniani hutokana na viumbe hai

Kesi dhidi ya ushindi wa Museveni yaanza kushika vuguvugu huko uganda.

Image captio
Kesi inayopinga matokeo ya uchaguzi

Shirika lasaidia waliopata mimba mapema Tanzania.

Young Strong Mothers Foundation
Image captionShirika la Young Strong Mothers Foundation limewasaidia wasichana kupata ujuzi wa kiufundi
Mimba za utotoni ni tatizo kubwa katika nchi nyingi zinazoendelea, zikiwepo nchi za Afrika Mashariki.
Young Strong Mothers Foundation ni asasi inayosaidia wasichana zaidi ya 200 walioshindwa kuendelea na masomo mjini morogoro, Mashariki mwa Tanzania.
Leo ikiwa siku ya wanawake duniani, mimba za utotoni ni miongoni mwa changamoto ambazo zinawarudisha nyuma wanawake katika harakati zao za kuleta maendeleo.
Mabinti wadogo wanakatizia njiani masomo yao kwa kuwa wanapata mimba wakiwa na umri mdogo na kupelekea kufukuzwa shule, kufukuzwa na wazazi na jamii kuwanyooshea kidole.
Hukumu kubwa ambazo wanazipata kutoka katika jamii inayowazunguka inawezekana huwalenga wao kimakosa kwa kuwa sio wao pekee wakulaumiwa kwa sababu wana nyingi zilizowafanya kutumbukia kwenye adha hiyo.
Helmina Msaliwa ana umri wa miaka miaka 20 na mtoto wake ana miaka mitatu, anasema alimpata mtoto wake bila matarajio kutokana na hali ngumu ya maisha, mazingira yaliyosababisha akapata ujauzito na kufukuzwa nyumbani pamoja na shule.
Hata hivyo mbaya zaidi kuhusiana na mimba za utotoni ni kwamba wengine hujikuta katika hali hiyo kutokana na kubakwa.
Amina Juma mwenye umri wa miaka 21 ambaye ana mtoto wa miaka minne, aliyelelewa na bibi yake hivyo ilimlazimu kufanya kazi za ndani ili aweze kujilipia karo ya shule lakini matokeo yake aliishia kubakwa na kusitisha masomo yake.
Ugumu wa maisha kwa ujumla mwishowe unadaiwa kuwaingiza baadhi ya wasichana katika biashara ya kujiuza ili waweze kukidhi mahitaji yao na kuwalea watoto wao.
Zamoyo Seif amejikuta katika ukurasa huo. Baada ya wazazi wake kutengana na hali kuwa mbaya zaidi pale ambapo mzazi mmoja alipobaki na jukumu la kumlea, aliamua kutoroka na mwishowe akaingilia biashara ya kujiuza.
Jackie Bomboma ni mkurugenzi kutoka asasi ya Strong Mothers Foundation, na ambaye amesema amepitia historia inayofanana kwa sehemu fulani na mapito ya wasichana waliotumbukia katika mimba za utotoni.
Jackie Bomboma
Image captionJackie Bomboma (kulia) na bintiye
Yeye ana umri wa miaka 29 na mtoto wake mwenye umri wa miaka 14.
Jackie anasema hali ngumu ambayo aliyoipitia tangu wazazi wake walipofariki na kukosa usaidizi kutoka kwa jamii yake ndio ilimpelekea kupata mimba akiwa na umri mdogo.
Hali hiyo ngumu aliyoipitia ilimfanya asukumwe kuwasaidia mabinti hao kwa kuwa anaamini kuna sababu nyingi zilizowapelekea kuingia kwenye janga hilo.
Shirika hilo la Young Strong Mothers Foundation bado linakumbana na changamoto ya kupata ufadhili wa kuweza kuwakwamua wamama hao wadogo pamoja na watoto wao kuondokana na hali ya unyanyapaa wanayokutana nayo kutoka katika jamii.
Hali kadhalika shirika hilo linaiomba serikali kuweza kurekebisha sera yake ya elimu ili wasichana wenye umri mdogo wanaopata mimba waweze kuendelea na masomo.
Kwa sasa shirika hilo limeweza kuwapeleka wamama wadogo 15 katika shule ya ufundi wa fani mbalimbali kama ufundi cherehani, mapishi, umeme na nyinginezo huku wengine wakiwa wanapata ushauri wa ujasiriamali na masuala ya afya

Jua lanaswa na mwezi Indonesia laishangaza dunia sana...


Image copyrightGetty
Image captionWatu wamelitaja tukio hilo la miujiza
Raia Indonesia wameshuhudia jua likizibwa kikamilifu na mwezi.

Mabondia wa Kenya na Ethiopia watamba huku mwana mama akiwa pembeni kwenye pambano...

Image captionNick Okoth wa Kenya
Bondia wa Kenya na Ethiopia wamefuzu kwa robo-fainali

FIFA yaadhibu wakuu wa soka Afrika Kusini

Image copyrightAFP
Image captionFIFA yaadhibu wakuu wa soka Afrika Kusini
Shirikisho la soka duniani FIFA limewapiga marufuku

Wenger ajibu vikali Mjadala kumhusu yeye umezidi.

WengerImage copyrightAP
Image captionWenger amesema si mara ya kwanza Arsenal kushindwa
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema mjadala

Arsenal yavuliwa ubingwa Kombe la FA

Image copyrightAll Sport
Michuano ya FA iliendelea tena jana kwa mabingwa wake Arsenal

Zlatan Ibrahimovic kuihama PSG

IbraImage copyrightAP
Image captionIbrahimovic alifunga mabao manne Jumapili
Mshambuliaji matata kutoka Sweden Zlatan

Ujenzi wa bomba la mafuta Tanga kuanza unatarajia kuanza hivi karibuni

MagufuliImage copyrightStatehouse Tanzania
Image captionRais Magufuli wa Tanzania na mwenzake wa Uganda Yoweri Museveni
Kampuni inayotarajiwa kufanikisha ujenzi wa bomba

Mwanamfalme wa Saudia amkosoa Obama unajua nini kimetokea.......

Image copyrightGetty
Image captionMwanamfalme wa Saudia amkosoa rais wa Marekani Obama
Mwanamfalme wa cheo cha juu nchini Saudi Arabia,

Kagame kuiga Magufuli katika kubana matumizi soma hapa..

mawaziriImage copyrightAFP
Image captionRais Kagame amesema ziara nyingi zinazofanywa na mawaziri EAC hazina umuhimu
Rais wa Rwanda Paul Kagame amelaumu Jumui

Ukweli kuhusu ajali ya gari iliyoua Watu 2 na kujeruhi 16 Dar, usiku wa jana…

Moja ya stori zilizochukua headline usiku wa March 13 2016 ni pamoj

Soma hapa Rais Magufuli leo kamalizana na Bwana Javier Rielo...

Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki Javier Rielo amemuhakikishia Rais wa Magufuli kuwa kampuni hiyo itaanza

Paul Makonda kaongea nini baada ya kupewa Ukuu wa Mkoa Dar soma hapa alichokijibu?

Headline zilizoongoza kwenye magazeti ya Tanzania March 1

Diamond Platnumz afunguka kuhusu utambulisho wa msanii mpya kutoka WCB










Baada ya label ya WCB kumsaini mkali wa hit single ya Bado ‘Harmonize’ na kuendelea kufanya vizuri kwenye soko la muziki wa Tanzania.
Sasa good news nyingine iliyotolewa na staa Diamond Platnumz  ambaye ni msimamizi wa label hiyo alisema kwamba March 15 watatangaza msanii mpya waliemsaini katika label yao.
Kupitia kwenye ukurasa wa twitter aliwataarifu mashabiki kwa kuandika..’Panapo Majaaliwa Jumatano Hii Wcb_Wasafi tutamtambulisha rasmi Kijana Mwingine Mpya…tafadhali wadau tunaomba sana Support zenu’>>> Diamond.

Sikia alichokijibu Donald Ngoma kwa nini alitoa machozi kabla ya mchezo wa APR March 12.

March 12 klabu ya Dar Es Salaam Young Africans ilikuwa Kigali Rwanda kucheza mchezo wake wa kwanza wa raundi ya pili ya michuano ya klabu Bingwa Afrika dhidi yaAPR ya Rwanda na kuibuka na ushindi wa goli 2-1.
Muda mchache kabla ya wachezaji kuelekea hotelini muda mchache kabla ya Yangakutoka hotelini kuingia kwenye basi na kuelekea uwanjani kwa ajili ya mechi hiyo, mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe anayeichezea klabu hiyo Donald Ngomaaliingia kwenye headlines baada ya kuonekana akitokwa machozi na baadhi ya watu bila.
Ngoma alitoa majibu haya katika exclusive interview na millardayo.com >>>” hahaha kiukweli haikuwa sikuwa nikilia ila huwa na tatizo katika jicho langu la kushoto, lakini linaweza kuona vizuri kuliko lolote, tatizo lilianza nilipokwenda Sweden kwenye majaribio”
Kama ilikupita video ya magoli ya mchezo wa APR Vs Yanga uliyochezwa March 12Kigali Rwanda, Full Time 1-2