Saturday, 30 April 2016

UZINDUZI WA MASHINDANO YA UMISSETA MKOANI MWANZA.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza.John Mongella akipokelewa na viongozi na wadau wa michezo alipowasili uwanja wa CCM Kirumba kuzindua mashindano ya COPA UMISSETA

Nay Aliachwa na Shamsa Ford Sababu ya Vibomu-Niva


Msanii wa filamu nchini Niva Super Mariyoo, ambaye alionja joto ya jiwe kwa muda fulani baada ya kutajwa kwenye wimbo wa Nay wa Mitego 'Shika adabu yako' na kusema "Huyo msanii huyo hana hata chumba cha kupanga ila anaishi kwenye gari".

TCRA Yatoa Onyo Kwa Wafanyabiashara Wanaobadili IMEI za Simu FEKI ili Kuwahadaa Wananchi


Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kiama kwa wafanyabiashara wa vifaa vya mawasiliano, kuacha kuwahadaa wananchi kwa kutoa punguzo ili kuwashawishi kununua simu bandia na kutishia kuwafunga miaka 10 jela, faini ya Sh30 milioni au vyote kwa pamoja watakaobainika.

Nani Atashuka Daraja leo Coastal Union Au African Sports..Dakika Tisini Kusubiriwa.


Dakika 90 za mchezo wa leo kati ya wapinzani wa jadi Coastal Union vs African Sports zitaamua ni timu gani itaanza kuipa mkono wa kwa heri ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu huu. Timu itakayokubali kichapo ni wazi itakuwa imeiaga ligi huku matokeo ya sare yakiwa mabaya kwa timu zote.

Video ya Chura Yawa Gumzo Mtandaoni..Awapa watanzania wakati mgumu.

Video ya Mwanamuziki Snura iliyotoka hivi Karibuni imekuwa gumzo mtandani kwa jinsi wadada wanavyotingisha makalio kwa mtindi wa Chura kama jina la wimbo huo unavyoitwa..Japo video hiyo mpaka sasa haijachezwa na kituo chochote cha Tv Tanzania lakini huko Youtube inaonekana imeshakuwa maarufu kwani watu nje ya nchi na ndani wamekuwa wakiijadili kwa maoni tofauti tofauti

Mengine yalioandikwa kuhusu Jose Mourinho na Man United Du inasikitisha sana.

Bado headlines za kocha wa sasa wa Man United Louis van Gaal kutimuliwa na ndani ya Man United na nafasi yake kuchukuliwa na kocha wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho zinazidi kuchukua headlines, huu ni mtihani ambao majibu yake yatajulikana mwisho wa msimu baada ya Ligi Kumalizika.

Tanzania Yapata Dili mpya Uganda La Kujenga Bomba Jingine la Gesi

Baada ya Tanzania na Uganda kukubaliana mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta utekelezwe kutoka Hoima, Uganda hadi Tanga, matumaini mengine mapya yameonekana kutokana na Uganda kuweka wazi azma yake ya kujenga bomba jingine la gesi katika njia hiyohiyo kwa ajili ya biashara na Tanzania.

SOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya April 30, Ikiwemo ya Magufuli Amvaa Lugumi.


KATIBU WA BUNGE AONGOZA KIKAO CHA MAANDALIZI YA MKUTANO WA MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI.

1Mwenyekiti wa kikao cha Makatibu wa Mabunge wa Afrika Mashariki Dkt. Thomas Kashilila akiongoza kikao cha maandalizi ya mkutano wa Maspika wa Afrika Mashariki leo jijini Arusha.

MSD Yaigeuzia Kibao Muhimbili Kuhusu Kuhusu Utata wa Dawa Uliobuliwa na CAG.

SeeBait
Sakata la upotevu wa vifaatiba na dawa kutoka Bohari ya Dawa (MSD) kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kipindi cha miaka minne limeingia katika sura mpya baada ya MSD kuigeuzia kibao hospitali hiyo, huku ikitoa ushahidi wa ankara 23 zilizotumika kupelekea vifaa hivyo kwa kipindi cha miaka minne.

MWILI WA MAMA LUCY KIBAKI KUWASILI KENYA JUMAPILI.

Mwili Mama Lucy Kibaki ambaye ni mke wa rasi wa zammani wa Kenya utawasili kwa ndege Jijini Nairobi, ukitokea London alipofariki dunia akipatiwa matibabu.

UJENZI WA UWANJA WA KISASA WA MAO ZANZIBAR WANUKIA.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Ndg Omar Hassan Omar,(King) akisalimiana na Ofisa wa Ubalozi ya China Zanzibar Chen Li, wakati alipofika Wizara ya Habari kwa utilianaji wa saini ya ujenzi wa Uwanja wa Kisasa wa Mpira wa Mao hatua ya pili ya makubaliano hayo kwa hatua za kuaza ujenzi.

MBUNGE WA JIMBO LA VUNJO ,JAMES MBATIA AKABIDHI MSAADA WA CHAKULA KWA WAHANGA WA MAFURIKO.



Diwani wa kata ya Kahe ,Rodrick Mmanyi akizungumza baada ya Mkurugenzi wa Idara ya Maafa nchini,Brigedia Jenerali ,Mbazi Msuya kutembelea kata hiyo kutizama athari zilizotokana na mafuriko.