Mwenyekiti wa kikao cha Makatibu wa Mabunge wa Afrika Mashariki Dkt. Thomas Kashilila akiongoza kikao cha maandalizi ya mkutano wa Maspika wa Afrika Mashariki leo jijini Arusha.
Mwenyekiti wa kamati ya maadalizi ya mkutano wa Maspika wa Afrika Mashariki Dkt. Thomas Kashilila (kushoto) akiongoza kikao hicho leo jijnii Arusha. Kulia ni Katibu wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Bw. Keneth Madete.
Mkurugenzi wa Uhusiano wa Kimataifa na Itifaki wa Bunge la Tanzania Jossey Mwakasyuka (kushoto) akiwa na Msaidizi wa Katibu wa Bunge la Tanzania ndugu Emmanuel Mpanda
Makatibu wa Mabunge ya Afrika Mashariki wakitoka ukumbini baada ya ufunguzi wa kikao cha maandalizi ya mkutano wa Maspika wa Afrika Mashariki leo jijini Arusha
No comments:
Post a Comment