Friday, 1 April 2016

Sababu 5 zinazoweza kumpeleka Messi Manchester City


mess
Moja ya story ambayo inazungumziwa sana kipindi hiki ni tetesi za kwamba Messi anaweza kujiunga na kocha wake wa zamani kwenyue club ya Manchester City msimu ujao.

China Super League wanataka kumpa Zlatan £1,000,000 kwa wiki.


Screen Shot 2016-04-01 at 1.43.10 PM
Baada ya msimu huu kuisha kutakua na story kali kuliko matokeo ya mechi kwasababu kuna majina makubwa yatahusika kwenye movement kutoka kwenye club moja kwenye nyingine. Moja kati ya majina hayo ni Zlatan ambae anamaliza muda wa mkataba wake na PSG.

BARCELONA VS REAL MADRID: RONALDO NA MESSI WANAVYOLINGANA REKODI ZA EL CLASICO


Ronaldo vs Messi
Mapumziko ya lili mbalimbali kupisha mechi za kimataifa yamemalizika, sasa wachezaji wanarejea kwenye vilabu vyao kuendelea na majukumu yao. Mwishoni mwa juma hili zitapigwa mechi kibao kutoka ligi za mataifa mbalimbali, lakini akili, macho na masikio ya dunia nzima ni juu ya mchezo wa Barcelona dhidi ya Real Madri ‘El Clasico’ mchezo wa ligi ya Hispani maarufu kama La Liga.

serikali yapanga upya mikataba ya TRL

10
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (katikati) akimsikiliza mmoja wa abiria anayetumia usafiri wa reli ya kati mkoani Kigoma. Kushoto ni Mbunge wa Kigoma Mjini,

Waziri january makamba afanya mzungumzo na balozi wa spain nchini tz.


16
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiongea

Naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi atembelea kambi ya wakimbizi nyarugusu mkoani kigoma.

18
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akisalimiana na wafanyakazi wa Mashirika mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa yanayoshirikiana na Serikali ya Tanzania kutoa huduma katika Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu, iliyoko wilayani Kasulu, mkoani Kigoma.

Naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi atembelea gereza la bangwe na afanya mazungumzo na watumishi wa wizara kigoma.

22
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(katikati), akiongozana na Mkuu wa Magereza Mkoa wa Kigoma, SACP Sabas Matolo(kushoto) na Mkuu wa Gereza la

Waziri simba chawene afanya kikao na wadau wanaomiliki mabasi yaendayo mwendo kasi.

2
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa  (OR-TAMISEMI) George Simbachawene (kushoto) akiongea na wadau wa mradi wa mabasi yaendayo haraka

Kuziona serengeti boys na Pharahohs ni kiasi cha sh.2000 je unajua ni sababu zipi zipo hapa.

tanefa17
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kiingilio cha shilingi elfu mbili tu (2,000) ndio kitakachotumika katika mchezo wa kesho Jumamosi kati ya Serengeti Boys (Tanzania) v The Pharaohs (Misri) katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Kamati ya nidhamu ya TFF yatarajia kukutana kesho.

mvella
Kikao cha Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kitaendelea kesho Jumamosi saa 3 asubuhi katika ofisi za TFF zilizopo Karume, na maamuzi yake yatatangazwa saa 7 mchana.

Wajumbe wa kamati ya bunge ya katiba na sheria watembelea jengo jipya la ofisi ya makamu wa rais.

9
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu waRais- Muungano Mazingira Mh. January Makamba akiongea na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria

Wakuu wa mikoa waagizwa kutumia mfumo wa kielekroniki kukusanya mapato.

K2
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George Simbachawene akitoa maelekezo kwa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa katika kikao cha kujadili mwelekeo wa bajeti za Mikoa na Halmashauri kwa mwaka wa fedha

Jocate na MO DEWJI foundation kujenga kiwanja cha shule ya sekondari jangwani.

Jokate
Mwanzilishi wa ujenzi huo, Jokate Mwegelo akiandika jambo wakati ujenzi wa kiwanja ukiendelea.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jangwani wanataraji kunufaika kwa kupata uwanja wa michezo ambao unajegwa kwa ushirikiano wa nawanamitindo Jokate Mwegelo na Taasisi ya Mo Dewji.

Serikali ya washukuru wadau waliojitokeza kuisaidia twiga stars.

2
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James Wambura akizungumza na wachezaji wa Timu ya Taifa Wanawake (Twiga Stars) alipokutana nao leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Mpira Miguu Wanawake

Picha,ScootEBikes mpya wanazotambiana wasanii wa mbele mwaka huu.

chriss
Chris Brown amekuwa miongoni mwa wasanii waliojinunulia ScootEBikes na kuibadilisha kabisa muonekano wake na inasemekana upigaji wa rangi wa ScootEBikes inagharama kuliko ScootEBikes yenyewe.

Baada ya kufanikiwa kuacha matumizi ya dawa za kulevya Keko atangaza rasmi kuacha muziki.


keko1
Rapa Jocelyne Tracey aka Keko kutoka Uganda ametangaza rasmi kuacha muziki baada ya kufanikiwa kuacha matumizi ya dawa za kulevya.

Diddy kuirudisha Bad Boys Family,Hii video mpya Ft Ty Dolla $ign & Gizzle ‘You Could Be My Lover’.

puff-daddy
Puff Daddy ameturudisha kwenye miaka ya tisini na video mpya ya “You Could Be My Lover” Ft Ty Dolla $ign na Gizzle kuoka kwenye album ya MMM LP.

Jay Z afungua kesi dhidi ya waliokuwa wamiliki wa TIDAL.



tidal1
Rapa JayZ amefungua kesi dhidi ya waliokuwa wamiliki wa TIDAL akidai walimtapeli kwa kumuambia uongo juu ya namba halisi ya wateja waliokuwa wakitumia mtandao huo kusikiliza na kutazama kazi za wasanii.

Sauti Sol wapata mualiko Ikulu ya Ghana na kukutana na rais John Dramani.

Sauti-Sol-1
Boy Band ya Kenya Sauti Sol wamepata mualiko mkubwa hivi karibuni baada ya kufika nchini Ghana na kwenda moja kwa moja kwenye Ikulu ya Ghana.

Makava mawili ya Beyoncé kwenye jarida la ELLE.

Beyonce
Beyoncé ameng’arisha jarida la ELLE kupitia nguo mpya za Ivy Park ,Beyonce ametokea kwenye kava za majarida hayo mawili kwa wakati mmoja ELLE  na  ELLE UK

Kanye West anza kufanya kazi na meneja wa Justin Bieber ‘Scooter Braun’.

scotter-kanye
Kanye West amekubali mafanikio ya pop staa Justin Bieber mpaka kupelekea kuomba collabo na meneja wake.

Amber Rose atengeneza mamilioni kupitia App yake,angalia Emoji zake hapa.


amber-rose
Aliyekuwa mke wa Wiz Khalifa ‘Amber Rose’  ameweka wazikuwa Application yake yenye Emoji imemuingizia zaidi ya dola milioni Nne

Kehlani anyoa nywele zote baada ya jaribio la kujiuwa kufeli.


Kehlani_Cut_Hair1
Chini ya saa chache baada ya kujaribu kujiuwa staa wa Rnb

Diamond akutana uso kwa uso na Awililo longomba mjini paris.

Kila msanii mkubwa anapokutana na msanii mwingine mkubwa,inategemewa collabo kali kutoka hapo,well sina uhakika kuhusu hili ila inawezekana kwa asilimia mia moja , Diamond Platnumz na Awilo Longomba kufanya collabo,

Watendaji watakiwa kuzisimamiausalama rasilimali za misitu.

6
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akipata maelezo mafupi kutoka kwa Mkururugenzi wa Idara ya Misitu

Jeshi la polisi laongeza mda wa kuhakiki silaha kwa mda wa miezi mitatu kwa nchi nzima.

Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo Makao Makuu ya Polisi, (CP) Nsato Mssanzya (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana,

Kiatu cha Lionel Messi chawakera raia wa Misri..


Hatua ya mchezaji maarufu wa soka duniani Lionel Messi kutoa viatu vyake viuzwe kusaidia watu wasiojiweza imeibua mjadala mkali nchini Misri.

Indonesia kuchunguza ujumbe wa Di Caprio.

Mazingira
Wizara ya uhamiaji nchini Indonesia imesema itafanya uchunguzi kubaini iwapo kuna msingi wa kumpiga marufuku mwigizaji mashuhuri kutoka Marekani Leonard Di Caprio asizuru taifa hilo.
Hii ni kutokana na ujumbe ambao Di Caprio aliandika kwenye mitandao ya kijamii akiangazia ukataji wa miti.

Hotuba ya Trump yatumiwa katika filamu je? unajua ni ipi.

Wazalishaji wa filamu moja nchini Mexico kuhusu wahamiaji wanaojaribu kuingia nchini Marekani wametoa kipande kidogo cha filamu hiyo ambacho kinatumia hotuba ya bwana Donald Trump kupitisha ujumbe wa filamu hiyo kwamba maneno ni hatari kama risasi.

Dar es saalam watu Watatu washtakiwa kashfa ya Stanbic Tanzania.


Stanbic
Maafisa watatu wamefikishwa kortini Dar es Salaam leo wakishtakiwa kuhusiana na kashfa ya udanganyifu wa riba ya mkopo wa Dola za Kimarekani milioni 600 ambazo zilikopwa na serikali ya Tanzania kutoka kwa benki ya Standard ya Uingereza.

Zuma akubali makosa kuhusu ukarabati Nkandla soma hapa..


Zuma
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekubali uamuzi wa Mahakama ya Kikatiba uliompata na hatia kuhusiana na ukarabati uliofanywa katika makao yake ya kibinafsi eneo la Nkandla.
Akihutubia taifa hilo moja kwa moja kupitia runinga, Bw Zuma amesifu mahakama hiyo na kusema imedhihirisha kuwepo kwa uhuru wa mahakama nchini humo.