Wednesday, 16 March 2016

kesi ya ubakaji yamkabili vikali kaka yake Nicki Minaj.

Jelani-Maraj-Nicki-Minaj
Kaka wa rapa Nicki Minaj  ‘Jelani Maraj’ anayekabiliwa
na kesi ya ubakaji wa mtoto mdogo mwenye miaka 12 anafanya sala kwa sasa ili mahakama ya mwanzo itakayosikiliza na kutazama kesi yake iseme hakuna ushaidi wa kutosha wa kesi hio kusikilizwa.
Awali palikuwa na taarifa kuwa Nicki Minaj ndiye aliyelipa dhamana ya kaka yake ila baadae ilijulikana kuwa sio kweli.
Jelani akikutwa na sababu za kwenda mahakamani itakuwa aibu kubwa kwa dada yake Nicki Minaj

No comments: