Lil Kesh kumkacha Olamide na lebel yake ya YBNL.
Tetesi kutoka Nigeria zinasema msanii Lil Kesh amekataa kuongeza mkataba wake na Olamide na lebel yake ya YBNL.
Mpaka sasa Lil Kesh kuhusu tetesi hizi ila mkataba wake na Olamide
uliisha mwanzoni mwa mwezi huu na mpaka sasa hajachukua mkataba mpya.
No comments:
Post a Comment