Tuesday, 1 March 2016

RIPOTI YA KWANZA YA MAHUSUANO YA KANYE WEST NA KIM SOMA HAPA....




Ripoti mpya ya mahusiano ya Kanye West na Kim  inasema video hii inaonyesha kitu cha kwanza mastaa hawa walifanya pamoja baad aya kukutana kwa mara ya kwanza.
Pitoma the great Tv.

DJ KHALED ATANGAZA YUPO CHINI YA ROC NATION YA JAY Z SOMA HAPA..


Baada ya kuingia mkataba na Apple Music na UTA sasa Dj Maarufu DJ Khaled ameingia mkataba na Jay Z na kampuni yake ya Roc Nation.
Dj Khaled ametangaza rasmi kuwa “Hov will help him “embrace” his new “blessings”.
Maneno ya Khaled yalisema “Meet my manager. His name is Jay Z,Hov!!! Special cloth alert! The blessings coming in have been overwhelming. So much blessings I needed the right team to help me embrace it right. And when I say embrace I mean brand partnership. When two special cloth brands come together history gets made”.
Kama kusheherekea mkataba huu Jay Z alimpa Khaled cheni yake ya mwisho ya Roc-A-Fella ambayo piwa aliwahi kupewa Kanye West.
Jay Z alimwambia Khaled “Hii ndio cheni ya mwisho ya Roc A Fella, hata mimi sina nyingine nyumbani, hii ndio yenyewe kutoka kwangu”.
Jayz Na Dj Khaled 5
Roc Nation pia wamethibitisha hili >>”Welcome @DJKhaled to the @RocNation family! #RocNation #WeTheBest

Tuesday, 23 February 2016

MO MUSIC ASHINDA KESI DHIDI YA MPENZI WA ZAMANI.





Mahakama ya mjini Dodoma imefuta kesi ya utapeli iliyokuwa ikimkabili Msanii wa bongo Fleva,Mo music ambapo msanii huyo alikuwa akituhumiwa kama mtuhumiwa wa pili.
Kesi hiyo iliibuka baada ya mpenzi wa zamani wa Mo Music kumtapeli mwanaume mmoja anayesadikiwa kuwa ni mpenzi wake mpya pesa zaidi ya shilingi milioni 30 mwishoni mwa mwaka jana huko dodoma na kuaminika kuwa alimpelekea msanii huyo pesa hizo.
Mo Music amekana na kusema si kweli kwamba alicheza mchezo huo na mpenzi wake wa zamani na kuongeza kuwa mwanamke huyo amekuwa akimletea kadhia mara kwa mara hasa pale anapotaka kutoa wimbo hata kufikia hatua ya kuzusha kuwa ana ujauzito wa msanii huyo

Wednesday, 10 February 2016

SOMA HAPA OMMY DIMPOZ ALICHOMJIBU NEY WA MITEGO.




Image result for OMMY DIMPOZ NA NEY WA MITEGO

Rapa Nay wa Mitego amepata majibu makali kutoka kwa Ommy Dimpoz baada ya rapa huyu kutumia wimbo wake mpya kumdiss Ommy Dimpoz.
Kwenye wimbo huu wa ‘Shika Adabu Yako’ Nay wa Mitego anadai kuwa Ommy Dimpoz ni SHOGA.
Huyu jamaa anajiita Dimpoz, Pose kwa Pose, Wanae wanalalamika hawamjui shemeji, Kitaani kuna tetesi mwana hapigi mechi, Mara oh jogoo hawiki, huwa haonyeshi shemeji
Baada ya kauli hiyo, Ommy Dimpoz kupitia instagram ameandika hivi….
” Barua ya wazi kwa Neema wa Mitego kwanza pole kwa Malezi ya Watoto ambao mama zao wamekukimbia, hakuna Mwanamke ambae anaweza kuishi na mwanaume mwenye tabia za kike kama zako 😂 inatakiwa ujiulize una tatizo gani maana km umaarufu mavi unao,nyumba unayo,magari unayo na hivyo ndo vitu dada zetu wanapenda lakini kwanini wanakukimbia pili kila nikiwaangalia watoto naona kabisa hamjafanana kuna umuhimu wa DNA Da Neema trust me. Hiyo video nimekuwekea hapo juu ni kukuonyesha kuwa mimi na wewe Ligi zetu hazifanani 😄 vitu navyokula mimi wewe utaishia kuviona kwenye TV maana kuvipata mpaka uwe Unapanda sana Ndege sasa mimi najaza passport ya Tatu wakati wewe hata kurasa 4 za passport yako ya kwanza hujamaliza 😜 Sasa wewe ushazoea wanawake zako wa jumuiya basi unataka kila mtu apost demu wake haya sasa Chuma hiko kimetoka ulaya kuja kufuata dodoki 😋🍆nimekujibu ili nikusaidie promo ya nyimbo yako Atleast upige na Vishoo baba 😄😄 Sema nakuomba usirushe ngumi tu maana nakujua Mzee wa Kupanic Maana katika hao mabebi mama wako kuna mmoja nilishapitaga nae Uliza vizuri atakwambia kama jogoo anawika au vipi 😂Ukitaka kudownload wimbo wa @naytrueboy #ShikaAdabuYako nenda kwenye bio ya Da Neema 😊 .













MENEJA WA YAMOTO BAND ASEMA NYUMBA IPO KWENYE HARAKATI ZA MWISHO.


Meneja wa bendi ya Yamoto ,Chambuso amesema kuwa ahadi yao ya kuwapa nyumba vijana wa bendi hiyo iko pale pale na kuweka wazi kuwa nyumba hizo ziko kwenye hatua za mwisho.
Nyumba ziko kwenye finishing.Kwa sababu tumetengeneza kijiji Kisewe mbele ya uwanja wa Azam” alisema meneja
huyo kwenye mahojiano ya Yamoto Band kwenye kitu kimoja cha redio.
Kwa upande mwingine Yamoto band wamesema kuwa hakuna bendi yoyote inayowatishia hapa Tanzania zaidi ya Msondo Ngoma pia vijana wa bendi hiyo wamekanusha tetesi kuwa usimamizi wa bendi hio unawanyonya na kusema mpaka sasa maisha yao yanaenda poa