Tuesday, 1 March 2016

SIKILIZA ALICHOKIJIBU NAY WA MITEGO KUHUSU KUOA SOMA HAPA..


Bongo fleva staa Nay wa Mitego amesema kwa sasa hana mpango wa kuoa na wala hafikirii kuoa. Maswala ya ndoa yamekuwa yakimuandama Nay wa Mitego kutokana na issue ya yeye kuwa na watoto wanaohitaji malezi ya mama.
Nay kaiambia Planet Bongo …..“Kusema kweli kabisa nimeulizwa swali ambalo sijaulizwa muda mrefu, na nikiulizwa huwa nalikwepaga, kufuatana na mahusiano ambayo nimekuwa nayo katikati, namshukuru Mwenyezi Mungu amenijalia watoto, for this time nikisema nizungumzie kuhusu ndoa nitadanganya, mi sifikirrii kabisa kuhusu kuoa for this time, kwa bahati mbaya au mzuri mi sipo kwenye mahusiano, sitaki kukurupuka, unajua ukifunga ndoa kwa sisi, mi ni mkristo hiyo ndo nitolee, yani hapo ndo umejicomit umeshaingia kwenye 18 ambazo huwezi kuzipangua tena, sifikirii kuoa, siwazi na sidhani kama nina huo mpango”.
Pia Nay wa Mitego amekiri kuwa na mahusiano na Stella ‘Chaga Baby’ ambaye anaishi Marekani, lakini umbali uliopo kati yao ndio chanzo cha wao kutokuwa pamoja.

BIFU LA JAGUAR NA PREZZO HALITAISHA LEO SOMA KILICHOWAKUTA HAPA.



RIPOTI YA KWANZA YA MAHUSUANO YA KANYE WEST NA KIM SOMA HAPA....




Ripoti mpya ya mahusiano ya Kanye West na Kim  inasema video hii inaonyesha kitu cha kwanza mastaa hawa walifanya pamoja baad aya kukutana kwa mara ya kwanza.
Pitoma the great Tv.

DJ KHALED ATANGAZA YUPO CHINI YA ROC NATION YA JAY Z SOMA HAPA..


Baada ya kuingia mkataba na Apple Music na UTA sasa Dj Maarufu DJ Khaled ameingia mkataba na Jay Z na kampuni yake ya Roc Nation.
Dj Khaled ametangaza rasmi kuwa “Hov will help him “embrace” his new “blessings”.
Maneno ya Khaled yalisema “Meet my manager. His name is Jay Z,Hov!!! Special cloth alert! The blessings coming in have been overwhelming. So much blessings I needed the right team to help me embrace it right. And when I say embrace I mean brand partnership. When two special cloth brands come together history gets made”.
Kama kusheherekea mkataba huu Jay Z alimpa Khaled cheni yake ya mwisho ya Roc-A-Fella ambayo piwa aliwahi kupewa Kanye West.
Jay Z alimwambia Khaled “Hii ndio cheni ya mwisho ya Roc A Fella, hata mimi sina nyingine nyumbani, hii ndio yenyewe kutoka kwangu”.
Jayz Na Dj Khaled 5
Roc Nation pia wamethibitisha hili >>”Welcome @DJKhaled to the @RocNation family! #RocNation #WeTheBest

Tuesday, 23 February 2016

MO MUSIC ASHINDA KESI DHIDI YA MPENZI WA ZAMANI.





Mahakama ya mjini Dodoma imefuta kesi ya utapeli iliyokuwa ikimkabili Msanii wa bongo Fleva,Mo music ambapo msanii huyo alikuwa akituhumiwa kama mtuhumiwa wa pili.
Kesi hiyo iliibuka baada ya mpenzi wa zamani wa Mo Music kumtapeli mwanaume mmoja anayesadikiwa kuwa ni mpenzi wake mpya pesa zaidi ya shilingi milioni 30 mwishoni mwa mwaka jana huko dodoma na kuaminika kuwa alimpelekea msanii huyo pesa hizo.
Mo Music amekana na kusema si kweli kwamba alicheza mchezo huo na mpenzi wake wa zamani na kuongeza kuwa mwanamke huyo amekuwa akimletea kadhia mara kwa mara hasa pale anapotaka kutoa wimbo hata kufikia hatua ya kuzusha kuwa ana ujauzito wa msanii huyo