Kazi ipo! Video Queen asiyeishiwa vituko Bongo, Gift Stanford ‘Gigy
Money’ anadaiwa kuopoa kigogo ambaye ni mfanyabiashara wa madini, mkazi
wa jijini Arusha ambaye ndiye mwandani wake anayempa jeuri kwa sasa.
Gari imeibiwa jana , 23/4/2016 Shopper plaza- Mikocheni, mida ya saa 9
mchana.Ni Volkswagen Tourge, Blue color... Kama umeiona au unajua ilipo
au unajua chochote tafadhali piga number hii +255 715 066 278 au toa
ripoti polisi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo
tarehe 25 Aprili, 2016 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 26 ya
Tanzania Bara.