Monday, 18 April 2016

Banky W kuja na ngoma mbili mpya.

Banky-W
Staa wa rnb Banky W atangaza ujio wa ngoma mbili mpya
Baada ya mskumo mkubwa kutoka kwa mashabiki kuhusu kazi mpya rnb staa kutoka Nigeria Banky W,ametangaza ujio wa ngoma mbili mpya kupitia  twitter yake, wewe ni shabiki wa Banky W kaa tayari kwa hilo

Nicki Minaj awapenda watoto waliocheza kwenye video ya Eddy Kenzo ‘Sitya Loss’.


nicki-minaj
Nicki Minaj awapenda watoto waliocheza kwenye video ya Eddy Kenzo ‘Sitya Loss’.

Mtoto wa T.I kafanya makubwa Du?T.I kasemaje kuhusu hili…

TI_Zonnique
Mtoto wa kambo wa rapa T.I Zonnique mwenye 20 amepata boy friend ambaye ni maarufu huko nchini Marekani
Mwanaume huyu ni mchezaji wa NFL  ‘Damian Swann’ anachezea timu ya New Orleans Saints.

Alichofanya Drake kwa Meek Mill,sasa Meek kakifanya kwa Nicki Minaj.

meek-mill-nicki Kama unakumbuka vizuri Meek Mill alitoa lawama nyingi sana baada ya Drake kushindwa kuandika chochote twitter au instagram kuhusu album yake, kitu ambacho kilipelekea beef kubwa kati yao.

Picha,Mapenzi ya Rihanna na Leonardo DiCaprio sio siri tena.

Baada ya rnb staa Rihanna kumbwaga mpenzi wake Travis Scott, Riri amerudisha majeshi kwa muigizaji wa filamu mkubwa duniani Leonardo DiCaprio huku bado pakiwa na tetesi kuwa anatoka na Drake.