Zoezi hilo lilianza saa 2 asubuhi hadi saa 4. Mwandaaji wa ulimbwende Iringa Miss Maya alisema wameamua kuhakikisha iringa inakuwa safi na watafanya usafi kila mara mpaka mji ung'are. Naye Meya wa Manispaa Mh Kimbe aliwaomba wadau wote wajitokee kufanya usafi kwa nguvu zote.
Mkuu wa wilaya alisem zoezi hili endelevu na wataendelea kuhimiza usafi kwa nguvu zote . Pia alimuomba mstahiki meya kutunga sheria ndogo ndogo kali zenye faini kubwa kwa wanao kaidi sula la usafi.
Kazi ya usafi ikiendelea kwa kasi
No comments:
Post a Comment