Tuesday, 6 February 2018

UJUMBE WA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI LESOTHO WAKUTANA NA NAIBU WAZIRI KWANDIKWA

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa (kushoto) akizungumza katika kikao cha kubadilishana uzoefu kati ya wajumbe wa nchi ya Lesotho na Tanzania. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Lesotho, Mhe. Lehlohonolo Moramotse (kulia) ameongoza ujumbe huo uliokuja kwa ziara ya mafunzo nchini Tanzania.

MENEJA wa Diamond Afunguka ujio wa Collabo za Diamond na Rick Ross na Rihanna

Hivi karibuni wakati anahojiwa kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM, Diamond aelezee ujio wa ngoma ambazo amewashikirisha wanamuziki wakubwa kama vile heavyweight wa Marekani, Rick Ross na Rihanna.

UJUMBE WA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI LESOTHO WAKUTANA NA NAIBU WAZIRI KWANDIKWA.

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa (kushoto) akizungumza katika kikao cha kubadilishana uzoefu kati ya wajumbe wa nchi ya Lesotho na Tanzania. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Lesotho, Mhe. Lehlohonolo Moramotse (kulia) ameongoza ujumbe huo uliokuja kwa ziara ya mafunzo nchini Tanzania.

WATFORD YAICHAKAZA CHELSEA NA KUWEKA KIBARUA CHA CONTE MATATANI.

Watford imefunga magoli matatu ya dakika za mwisho na kumpatia ushindi wa kwanza nyumbani kocha Javi Gracia katika usiku ambao hautosahaulika na kocha huyo mpya baada ya kuichakaza Chelsea magoli 4-1.

JE? UMEUMIZWA/UMEMUUMIZA MWENZI WAKO HADITHI INAELEZA HAPA.

HADITHI NZURI ZA KUSISIMUA.
nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu,niliyekuwa nikimuita "Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu,lakini yeye hakuwa akitamani hilo na nilikuwa nikilitambua hilo.

Saturday, 3 December 2016

SALAMA JABIR ALA SHAVU NONO KWENYE TUZO ZA EATV Awards 2016.



Mtangazaji mahiri wa vipindi vya burudani nchini, Salama Jabir ametangazwa

MSHIRIKI WA BONGO STARSEARCH ATOA MAKUBWA JUU YA KUSHINDWA KUFANYA VIZURI.


Hadi sasa watu wanajiuliza nini kimetokea kwa Kayumba – mshindi wa Bongo Star Search mwaka jana. Mbona kijana huyo alionesha uwezo mkubwa wakati wa

Monday, 16 May 2016

Aika: Nina Wivu Hatari Kwa Nahreel Acha tu

Memba wa Kundi la Navy Kenzo, Aika Mareale amefunguka kuwa ana wivu wa kupindukia kwa memba mwenzake ambaye ni mpenzi wake, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ wanaotamba na wimbo wao wa Kamatia Chini kwani kuna kipindi huwa anapata wakati mgumu hasa warembo wanapokatiza mbele ya jamaa huyo.

Picha,Mashabiki wa Jay Z nao wana kampeni yao ya kumuombea msamaha kwa Beyonce.

Baada ya tetesi za usaliti kuongelewa kwenye album mpya ya Beyonce ‘Lemonade’ Jay Z amekuwa akiandamwa na maneno ya watu kuhusu usaliti wake na mwanamke anaye fahamika tu kama BECKY with the good hair kama alivyotajwa kwenye wimbo wa Beyonce.

Stori inaendelea,Hii Video ya Harmonize Na JackLine Wolper Ndani Ya Gari, Lovers ?

Stori ya mapenzi ya Harmonize Na JackLine Wolper inaendelea na hii ni video aliyotuonyesha Diamond

Picha,Ukiacha Chris Brown,Diamond Platnumz anategemea kufanya collabo na hawa wengine wakali.

Ukiacha collabo ya Diamond Platnumz na Chris Brown iliyothibitishwa na MTV Base Africa, Inasemekana lebel kubwa nchini Marekani ya RCA imefanikisha colabo zingine mbili za Diamond na wasanii wengine nchini Marekani. 

Show za Beyonce zinawaleta wasanii karibu na JayZ,huyu kaomba collabo na kapata.

DJ Khaled ametumia usajili wake kwenye show za Beyonce vizuri sana baada ya kuleta wasanii wote wakali karibu na Beyonce na kukutana na Jay Z ambapo wengi wao wamepiga picha kwa mara ya kwanza na staa huyu huku wengine wakiomba collabo na kufanikiwa.

Picha,Wachezaji wakirudishwa nyumbani na Kikosi cha uteguaji mabomu kikifanya kazi yake uwanjani Old Trafford.

Mchezo kati ya klabu ya Man United dhidi ya AFC Bournemouth uliyokuwa uchezwe katika uwanja wa nyumbani wa Man United wa Old Trafford uliahirishwa kutokana na uwanja huo kuhofiwa kutokuwa na hali ya usalama.

Thursday, 12 May 2016

Habari za magazetini leo may 13 zipo hapa.

Leo katika historia

Marcelo Viera Da Silva Júnior
1988: Marcelo azaliwa

  • Marcelo Viera Da Silva Júnior

MARCELO Viera da Silva Júnior anafahamika zaidi kama Marcelo. Huyu ni msakata kabumbu raia wa Brazil ambaye kwa sasa anaitumikia klabu ya Real Madrid ya Hispania.

Hizi ni baadhi ya ajali ambazo zimeishangaza dunia.

Tisa Mbaroni kwa Kuuza Sukari Kinyume cha Bei Elekezi.

Polisi mkoani Arusha inawashikilia watu tisa kwa kosa la kuuza sukari tofauti na bei elekezi ya Sh1,800.

Baby Madaha asema ameamua kutulia ili kuitunza ndoa yake.

Msanii wa filamu, Baby Joseph Madaha, ameibuka na kudai kwa sasa ameamua kutulia katika ndoa yake na Mwarabu wa Dubai ambaye hakutaka kumtaja jina.
Baby Madaha

WATANZANIA KUZIAMUA ETHIOPIA, GHANA.

Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limewateua waamuzi wanne kuchezesha mchezo Na. 27 kati ya Ethiopia dhidi ya Ghana kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana 2017 utakaofanyika Uwanja wa Addis Ababa (Gazon Nature), jijini Addis Ababa huko Ethiopia.