Saturday, 30 April 2016
MSD Yaigeuzia Kibao Muhimbili Kuhusu Kuhusu Utata wa Dawa Uliobuliwa na CAG.
Sakata la upotevu wa vifaatiba na dawa kutoka Bohari ya Dawa (MSD) kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kipindi cha miaka minne limeingia katika sura mpya baada ya MSD kuigeuzia kibao hospitali hiyo, huku ikitoa ushahidi wa ankara 23 zilizotumika kupelekea vifaa hivyo kwa kipindi cha miaka minne.
UJENZI WA UWANJA WA KISASA WA MAO ZANZIBAR WANUKIA.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Ndg Omar Hassan Omar,(King) akisalimiana na Ofisa wa Ubalozi ya China Zanzibar Chen Li, wakati alipofika Wizara ya Habari kwa utilianaji wa saini ya ujenzi wa Uwanja wa Kisasa wa Mpira wa Mao hatua ya pili ya makubaliano hayo kwa hatua za kuaza ujenzi.
MBUNGE WA JIMBO LA VUNJO ,JAMES MBATIA AKABIDHI MSAADA WA CHAKULA KWA WAHANGA WA MAFURIKO.
Subscribe to:
Posts (Atom)


