Tuesday, 12 April 2016

Kijue kisa cha MTV Base Yawafuta Machozi Mashabiki wa Ali Kiba...


Mashabiki wa Alikiba wamelala usingizi mnono baada ya kupewa habari njema waliyokuwa wakiisubiri kwa muda mrefu.

Ijue List ya Nyimbo za Bongo Flava Zinazokwenda International Inazidi Kuongezeka Tanzania….


Wimbo kuchezwa kwenye kituo cha Kimataifa ni good news kwa wasanii, muziki wa Bongofleva unazidi kupata rotation kubwa Barani Afrika, March 8 2016 Trace TV imeanza kucheza wimbo wa Darassa ft Rich Mavoko   ‘Kama Utanipenda‘

,’Kama Utanipenda‘ imezichukua headlines tena baada ya video hiyo kuchezwa kwenye moja kati ya kituo kikubwa cha TV Africa  ‘Trace Tv‘,  Video ya wimbo huu umefanyika nchini Tanzania chini ya Director Hanscana.

Du wabongo nao kumbe Mtoto Wa Gadner G Habash Ni Tishio Kwa Urembo.


Mtoto wa kike  wa mtangazaji  Gardner G Habash anayeitwa Karen ni moto wa kuotea mbali kwa urembo na mwonekano alionao.Ni mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mbeya.

Rich Mavoko Akana Kusign Mkataba wa Kuwa Chini ya Diamond..Atoa Ufafanuzi Hapa nini Kinaendelea Kwa Sasa.


Baada ya msanii wa muziki kutoka ‘label’ ya WCB, Harmonize kudai Rich Mavoko tayari ni member wa label hiyo, Rich Mavoko aibuka na kuzungumzia swala hiyo.

Je wajua Diamond na Fid Q Wanachotakiwa kukifanya mikoani story ipo Hapa.



Staa wa muziki nchini Naseeb Abdul Juma a.k.a Diamond Platnumz ametakiwa kutoka Jijini Dar es salaam na kurejea Mkoani Kigoma alikozaliwa, ili kuwasaidia Wasanii chipukizi katika Mkoa huo.