Friday, 4 March 2016

MSANII WA HIP POP ROMA AFUNGUKA JUU YA MADAI YA KUTOMPOSTI MPENZI WAKE SOMA HAPA.....


JB AFUNGUKA KUHUSU KUIGIZA NA MASTAA WA NJE YA NCHI SIYO KUTANGAZA...SOMA HAPA

JB@@
Msanii wa bongo movie JB amepinga kauli za watu wanaosema kuwa bongo movie imekufa baada ya kifo cha mwigizaji marehemu Steven Kanumba.
JB amesema kuwa soko la bongo movie limesinzia tu kutokana na ukweli kwamba linatakiwa kutolewa kwenye kiwango kilichopo kwenda kimataifa na kusisitiza kuwa si lazima kuigiza na watu wa nje ndio filamu ziwe kimataifa.
Soko la filamu halijafa,limesinzia kwa sababu filamu zetu zinatakiwa zipelekwe kwenye next stage
wengine wanakosea hata kusema tunatakiwa tufanye kolabo na wa nje,wanasema hicho lakini sicho wanachotaka kwa sababu kuna wasanii wameshafanya kolabo hapa kati lakini haikuwa solution ,kinachotakiwa ni filamu hizi ziwe za  kimataifa ,filamu ya kimataifa ni ile iliyokidhi viwango vya kimataifa,iweze kuonyeshwa popote duniani ,sio lazima ufanye kolabo na mtu wa nje“amefunguka JB.

SOMA HAPA ORODHA YA WAIGIZAJI WENYE MKWANJA MREFU DUNIANI.

Orodha ya waigizaji wenye pesa nyingi zaidi duniani mwaka 2016

1. Jerry Seinfeld – Net worth: $820 million
Jerry ni mwigizaji wa filamu nyingi za vichekesho zinazouza zaidi kutokana na kupendwa na watu wote kwenye familia.
Jerry-Seinfeld 1
2. Shah Rukh Khan – Net worth: $600 million
Anaitwa Baadshah of Bollywood “The King of Bollywood”Thamani yake ni dola milioni $600. Amefanya zaidi ya filamu 75 za kihindi na filamu zingine za kimataifa,Kuna wanaoamini Khan ni mtu tajiri zaidi duniani.Anamiaka 49.
Shahrukh-Khan-Richest-Actor 2
3. Tom Cruise – Net worth: $480 million
Tumemuona kwenye filamu kama Top Gun, Rain Man, Tropic Thunder, Few Good Men, Thamani yake ni dola milioni 480, anamiaka 53.
Tom-Cruise 3
4. Tyler Perry – Net worth: $400 million
Tyler Perry ni mwigizaki,producer, director, mwandishi wa filamu na muziki, ni boyfriend wa Oprah Winfrey na thamani yake ni dola milioni $400 million,anamiaka 45.
Tyler-Perry 4
5. Johnny Depp – Net worth: $400 million
Tumemuona kwenye filamu ya Pirates of the Caribbean  na ni miongoni mwa waigizaji wenye vituko sana, anathamani ya dola milioni $400 akiwa na miaka 52.
Johnny-Deep-American-Actor 5
6. Bill Cosby – Net Worth: $400 million
Anatuzo saba za grammy kwa filamu za vichekesho, Bill Cosby anathamani ya dola milioni $400 akiwa na umri wa miaka 73.
Bill-Cosby 6
7. Jack Nicholson – Net Worth: $390 million
Jack-Nicholson 7
Jack Nicolson ni mwigizaji mkongwe,anathamani ya dola milioni $390 akiwa na umri wa miaka 78.
8. Clint Eastwood – Net Worth: $375 million
Clint Eastwood ameigiza toka miaka ya 1950 ana thamani ya dola milioni $375 million akiwa na umri wa miaka 85.
Clint-Eastwood 8
9. Tom Hanks – Net worth: $350 million
Tumemuona kwenye filamu kama Apollo 13, Da Vinci Code, Catch Me If You Can, Cast Away, You’ve Got Mail, ana dola milioni $350 na umri wa miaka 59.
10. Keanu Reeves – Net worth: $350 million.
Anathamani ya dola milioni $350, ni staa wa filamu za Matrix Trilogy, ana umri wa miaka 50.
keanu

VANESSA MDEE AMJIBU VIKALI KWA SHABIKI ALIYEMDISS JUX.


Kupitia akaunti yake ya instagram Vanessa amepost picha ya promo ya Jux na cyril ya kwa ajili ya show ya Morogoro na Dodoma na kuandika maneno haya.. “Moro na Dodoma sio kwa kunichukulia mtu wangu weekend nzimaaaa dahhhhh!!! Freshi lakini nendeni mkashow love basi. @cyrill_kamikaze @juma_jux @bdozen

vanesa amtikisa shabiki wa jux kwa...