Msanii wa bongo movie JB amepinga kauli za watu wanaosema kuwa bongo movie imekufa baada ya kifo cha mwigizaji marehemu Steven Kanumba.
JB amesema kuwa soko la bongo movie limesinzia tu kutokana na ukweli kwamba linatakiwa kutolewa kwenye kiwango kilichopo kwenda kimataifa na kusisitiza kuwa si lazima kuigiza na watu wa nje ndio filamu ziwe kimataifa.
“Soko la filamu halijafa,limesinzia kwa sababu filamu zetu zinatakiwa zipelekwe kwenye next stage
wengine wanakosea hata kusema tunatakiwa tufanye kolabo na wa nje,wanasema hicho lakini sicho wanachotaka kwa sababu kuna wasanii wameshafanya kolabo hapa kati lakini haikuwa solution ,kinachotakiwa ni filamu hizi ziwe za kimataifa ,filamu ya kimataifa ni ile iliyokidhi viwango vya kimataifa,iweze kuonyeshwa popote duniani ,sio lazima ufanye kolabo na mtu wa nje“amefunguka JB.

No comments:
Post a Comment