Katika hali isiyo ya kawaida shabiki mmoja alijitokeza na kuandika comment inayoonekana kumdiss mpenzi wa msanii huyo,Jux iliyosomeka ifuatavyo..”Afu Vanessa mwambie msela wako aache tabia ya kuingia chumvini!!!”
Vanessa alionekana kutopendezwa na comment hiyo na kumjibu kama ifuatavyo.. “@d.magezi kwaresma yote hii usije ukanishindisha nja mwananangu naona kuna mengi yanakustress kama vipi Pita LEFT arif isiwe tabu.” kama inavyoonekana.
No comments:
Post a Comment