March 4 waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye kwa pamoja na bondia mtanzania Francis Cheka walifanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wizarani na Cheka kuwashukuru watanzania na serikali kwa sapoti anayopata.

Cheka na Waziri Nape wakiongea na waandishi wa habari
Baada ya Cheka kushukuru na kumkabidhi Mh Nape mkanda wake wa Ubingwa aliompiga bondia wa Serbia Geard Ajetovic katika viwanja vya Leaders, mwishoni mwa mwezi February, Mh Nape alimkabidhi cheti Francis Cheka kwa niaba ya wizara.
Cheka na Waziri Nape baada ya kupokea mkanda
Cheka akikabidhiwa cheti na Waziri Nape
Francis Cheka mwenye cheti na waziri Nape na mdogo wa mdogo wake Francis anaitwaCosmas Cheka pamoja na Rais wa TPBO Yassin Abdallah Ostadhi nyuma ya Chekana Nape
No comments:
Post a Comment