Rick Ross ambaye mmiliki wa lebel ya MMG amefunguliwa kesi ya kumpiga mfanyakazi wake wa bustani Jonathan Zamudio na bastola na kumteka kwa zaidi ya saa 6. Kesi hii imefunguliwa baada ya uchunguzi kukamilika.
Kwa mujibu wa tmz Kijana Zamudio alikuwa akiiba baadhi ya mali za Rick Ross na kutumia magari na nyumba yake vibaya.
Rick Alikamatwa mwaka jana na kutoa thamana ya dola milioni mbili.
No comments:
Post a Comment