Friday, 25 March 2016

Picha,Wiz Khalifa kamsahau Amber Rose na sasa yupo na huyu mtoto mkali.

032316-celebs-wiz-amber
Baada ya kuachana na super model Amber Rose rapa Wiz Khalifa amekuwa akitajwa kuwa na mahusiano na wanawake tofauti ila hakuna aliyewahi kuthibitishwa na Wiz Mwenyewe.
Mtandao wa OK umeripoti kuwa kwa sasa Wiz Khalifa amengoa kifaa kipya ambacho ni Ex wa pop staa Justin Bieber anayefahamika kama Selena Gomez.
Kama ni kweli basi wanasema Selena anachezea moto sababu atapata drama kutoka kwa Amber Rose na Wiz Khalifa sio mwanaume wa kuwa naye kama unataka kuwa na maadili flani amazing kwa watu wako kutokana na tabia yake ya starehe na bangi muda wote.


032316-celebs-wiz-amber-selena-3
Kwa sasa Amber Rose anamahusiano na Terrence Ross.
 

Tunda kafunguka kuhusu kukerwa na wambea wa mitandaoni.

tunda
Video model Tunda amefunguka kupitia #PlanetBongoEAtv nakusema anachukizwa na kitendo cha watu kujadili mambo yasiyowahusu, pamoja na kuoneana wivu, na kuwataka wasimfollow kwenye mitandao ya kijamii.
“Wanaonipenda wanipende na wasionipenda waachane na mimi wasinifollow na kunijazia coments za kipumbavu pumbavu, ila wanaonipenda wanifollow”
Kuhusu matumizi ya Dawa za Kulevya Tunda alisema haya “Kitendo cha kuniambia natumia unga mpaka leo sijui limeanzia wapi, hata sijui ila naendelea kufuatilia“.
Kwa sasa mrembo huyo ameamua kurudi shule baada ya kuacha kwa muda mrefu na kujihusisha na sanaa

Linah kafunguka kuhusu WizKid kula mzigo.

WizKid Na Lina
Lina alisema “Unajua nilikuwa namu admire Wizkid toka muda mrefu, na ndiyo mwanaume ambaye hata ukiniuliza ni msanii gani wa kiume katika bara la Afrika ambaye ungependa kuwa naye au ambaye nampenda nitakwambia ni Wizkid, siwezi kukataa ila ndiyo hivyo tena maana mwenyewe natamani ingekuwa kweli“.

Bab Tale asema,alipoona picha ya Chid Benz alijua ana ngoma ndio maana alichukua hatua hii.

Babu-Tale-Chidi-Benz-na-Kalapina-530x481
Meneja wa Diamond Platnumz ‘Bab Tale’ ambaye hivi karibuni amejitoa kumsaidia rapa Chid Benz kuacha matumizi ya dawa za kulevya ameongelea mara ya kwanza kuona picha za Chid Benzi akiwa kwenye hali aliyopo kwa sasa.

kali ya tokea Msanii wa Sauti Sol ‘Delvin’ ahusishwa kimapenzi na mpwa wa rais Uhuru Kenyatta.


 

Sauti Sol

Msanii wa Sauti Sol ‘Delvin’ ameripotiwa kuwa na mahusiano na mpwa wa rais Uhuru Kenyatta anayefahamika kama Kavi Pratt.