Lina alisema “Unajua nilikuwa namu
admire Wizkid toka muda mrefu, na ndiyo mwanaume ambaye hata ukiniuliza
ni msanii gani wa kiume katika bara la Afrika ambaye ungependa kuwa naye
au ambaye nampenda nitakwambia ni Wizkid, siwezi kukataa ila ndiyo
hivyo tena maana mwenyewe natamani ingekuwa kweli“.
Katika hatua nyingine msanii huyo kwa sasa anasema ameamua kufanya tu
kazi na kuachana na masuala ya mapenzi na kusema kuwa akichanganya kazi
na mapenzi mwisho wa siku hata kazi yenyewe anaweza kuharibu.
Linah
amedai mpaka sasa ana mipango ya kufanya kazi na Wizkid ingawa anadai
kwa sasa alimwambia yupo ‘busy‘ kidogo mpaka siku za usoni ndipo
wanaweza kukamilisha kazi hiyo. |
No comments:
Post a Comment