.
.Kushoto ni Dj D Ommy kutoka XXL ya Clouds FM 88.5 akifanya mahojiano na Dj Dilinga
.Kushoto ni Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph kusaga akitoa utambulisho wa Dj Rico,
ambaye alibadili mtazamo wa dhana potofu kwamba kazi ya u Dee jay ni
uhuni na kuitetea na kuleta mapinduzi makubwa ya kuufanya Udj kama ajira.
Dj John Dilinga aka Dj JD The Legend |
.
Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga (Katikati) akiwa na Dj Dilinga (Kushoto) na Dj Rico (Kulia) |
.
Dj Elly wa Clouds Media Group akisalimiana na Dj First Aid
|
Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga akisalimiana na Dj Godfather wa disco la Tazara enzi hizo
Dj Makay na Dj Venture
Kushoto ni DJ D Ommy kutoka XXL ya Clouds FM akifanya Interview na Mkurugenzi wa CMG, Joseph Kusaga |
No comments:
Post a Comment