Sunday, 1 May 2016

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili Ya Tarehe Moja Mwezi wa 5

MKUU WA WILAYA IRINGA NA MEYA WA MANISPAA YA IRINGA WAFANYA USAFI HOSPITALI YA RUFAA IRINGA PAMOJA NA WALIMBWENDE.

Mstahiki Meya wa Manipsaa ya Iringa Mh Alex kimbe na Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela leo waliungana na walimbwende walio shiriki na wale watakao shiriki mashindano ya ulimbwende mjini Iringa kufanya usafi usafi katika hospitali ya Rufaa ya Iringa. 

Dk Philip Mpango: Serikali ya Kikwete haikukomba fedha Hazina.

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango, amesema Serikali ya Awamu ya Nne iliyokuwa chini ya Rais Jakaya Kikwete haikukomba fedha katika Hazina kama ambavyo baadhi ya wabunge wamedai, hata Shirika la Kimataifa la Fedha (IMF), lilifanya tathmini na kutoa taarifa safi.

MWILI WA MAMA LUCY KIBAKI WAWASILI JIJINI NAIROBI.

Mwili wa Mama Lucy Kibaki, ambaye ni mke wa aliyekuwa rais wa Kenya Mwai Kibaki umewasili leo Jijini Nairobi nchini Kenya ukitokea Uingereza.

Haya ndio maswala ya fashion waone warembo hapa.