Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susani Omari akizungumza na Mameneja wa NHC na Wakurugenzi wakati wa zoezi la kupanda miti katika Estate ya Kibada ikiwa ni jitihada za NHC kuboresha mazingira ya eneo hilo linalokaliwa na wakazi takribani 1,000 katika nyumba zipatazo 218 za gharama nafuu. EMT
wote(Directors, Regional Managers & Line Managers) pia wametembelea miradi ya Kawe, Morocco Square, Victoria Place, Eco Residence na Kibada ambako kumefanyika shughuli hiyo ya upandaji miti.
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba la Taifa, James Rhombo akipanda mti wa mchikichi katika eneo la makazi la NHC Kibada Kigamboni maarufu kama Kigamboni Housing Estate.
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi (TAMICO), Lilian Reuben na Meneja wa NHC, Mtwara, Joseph John wakipanda mti katika eneo la makazi la NHC Kibada Kigamboni maarufu kama Kigamboni Housing Estate.
Zoezi la kupanda miti likiendelea katika eneo la makazi la NHC Kibada Kigamboni maarufu kama Kigamboni Housing Estate.
Mandhari ya kupendeza ya nyumba za makazi za NHC Kibada Kigamboni maarufu kama Kigamboni Housing Estate inavyoonekana mchana huu, hizo ni barabara, mataa na mitaro ya nyumba hizo zinavyoonekana leo hii.

Wajumbe wa ziara hiyo wakisikiliza kwa makini maenelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, NHC, Haikamen Mlekio wakati wajumbe hao walipotembelea eneo hilo la makazi.
Mandhari ya kupendeza ya nyumba za makazi za NHC Kibada Kigamboni maarufu kama Kigamboni Housing Estate inavyoonekana mchana huu, hizo ni barabara, mataa na mitaro ya nyumba hizo zinavyoonekana leo hii.
Mandhari ya kupendeza ya nyumba za makazi za NHC Kibada Kigamboni maarufu kama Kigamboni Housing Estate inavyoonekana mchana huu, hizo ni barabara, mataa na mitaro ya nyumba hizo zinavyoonekana leo hii.
No comments:
Post a Comment