Thursday, 17 March 2016

AU kutuma waangalizi wa uchaguzi Zanzibar....


Matokeo

Tume ya Umoja wa Afrika imetangaza

ZAIDI YA NYUMBA 50 ZILIZOJENGWA KINYUME NA SHERIA KUBOMOLEWA HUKO KILIMANJARO SOMA HAPA...

Zaidi ya nyumba 50 ikiwemo ya mkuu wa jeshi la polisi mstaafu katika manispaa ya moshi mkoani Kilimanjaro zipo hatarini kubomolewa wakati wowote baada ya kujengwa kinyume cha sheria ya mipango miji na sheria ya hifadhi ya mazingira ambayo ni kando ya mto Karanga.

Mkuu wa wilaya ya Moshi Bw.Novatus Makunga amesema hayo baada ya kukagua baadhi ya nyumba akiwa na kamati ya ulinzi na usalama na kujiridhisha juu ya ujenzi wa nyumba hizo kinyume cha sheria..

Bw.Makunga

SOMA HAPA JINSI WAREMBO WANAVYO WACHUNA WATU MIKWANJA.

Wakati polisi wakikimbizana na makahaba wanaojiuza katika maeneo mbalimbali maarufu na klabu za usiku, biashara hii sasa imehamia katika mitandao ya kijamii.


Biashara hiyo ambayo awali ilikuwa ikifanyika katika viambaza vyenye mwanga hafifu katika maeneo maarufu, sasa inafanyika kwa uwazi katika mitandao.

Gloria, mmoja wa wanawake ambao kwa zaidi ya miaka 20 amefanya biashara hiyo anasema: “Biashara imebadilika sana, huhitaji kutumia nguvu nyingi au kutangatanga kupata mteja... unaingia tu mtandaoni wamejaa tele.” Mwanamke huyu anasifu ukuaji wa teknolojia akisema umeisaidia biashara hiyo kwani pamoja na kuirahisisha, pia umeipa thamani kwa kuwa bei ya mtaani na mtandaoni ni tofauti kabisa.

Hii ndio sababu iliyomfanya Diamond amchukue RayMond ajiunge WCB,ipi hio?

Hii ndio sababu iliyomfanya Diamond amchukue RayMond ajiunge WCB,ipi hio?

Diamond tuzo_full
Msanii mpya kwenye lebo ya WCB,RayMond amefunguka

Harmonize asema haya kuhusiana kujihusisha na mambo ya kichawi ili kutoka kimuziki


Harmonize asema haya kuhusiana kujihusisha na mambo ya kichawi ili kutoka kimuziki.

Harmonize
Msanii wa bongo fleva toka WCB,Harmonize amesema