Mfungwa mmoja mwenye umri wa miaka
18 nchini Australia anayeliunga mkono kundi la la Dola ya Kiislam,
amedaiwa kutumia kisu kumchonga kichwani mfungwa mwenzake kaulimbiu
ya kundi hilo.
Taarifa zinasema mfungwa huyo
alimchonga nywele kichwani mfungwa mwenzake maandishi e4e, ikiwa ni
kifupi cha maneno eye for an eye, ambayo kwa lugha ya Kiswahili
yanaamana ya Jicho kwa Jicho.
Uchunguzi umeshaanzishwa kubaini ni
kwa jinsi gani kijana huyo hatari aliweza kuwekwa pamoja na mfungwa
mwenzake mwenye umri wa miaka 40.
No comments:
Post a Comment