Mwenyekiti
wa Soko la Kisutu Tamimu Chande akizungumza katika Kampeni ya Kuongeza
uelewa wa kupinga ukatili wa Kijinsia katika Soko la Kisutu Dar es
Salaam leo asubuhi. Kampeni hiyo inaendeshwa na Shirika la Eqiuality for
Growth (EfG).
Mmoja wa kiongozi wa Soko la Kisutu akifungua mkutano wa kampeni hiyo.
Meneja wa Mradi huo kutoka Shirika la Equality for Growth, Grace Mateh akizungumza kwenye kampeni hiyo.
Mfanyabiashara wa Soko hilo, Bazalo Tazoni akizungumza katika kampeni hiyo.
Ofisa Maendeleo wa Kata ya Mchafukoge, Domonica Balama akizungumza katika kampeni hiyo.
Mfanyabiashara
katika Soko hilo, Charles Mloka akichangia jambo kwenye kampeni hiyo
kuhusu wanawake wafanyabiashara kujitambua kuhusu ukatili wa jinsia
masokoni.
Mfanyabiashara Godfred Kijange akichangia kuhusu wanawake kuwa chanzo cha ukatili wa kijinsia.
Katibu wa Soko la Kisutu, Suitebet Nyawalle akizungumzia kuhusu vitendo vya ukatili masokoni.
Katibu wa Soko la Kisutu, Suitebet Nyawalle akiserebuka na wasanii wa kundi la machozi katika kampeni hiyo.
Wasanii wa kundi la machozi wakitoa burudani katika kampeni hiyo.
Taswira katika kampeni hiyo.
Burudani zaidi kutoka kundi la machozi zikiendelea hapo ni Babu na Bibi wakifanya vitu vyao.
Igizo la kupinga ukatili wa kijinsia kutoka kundi la machozi likifanyika.
Mfanyabiashara wa Soko hilo Editha Mtembei akichangia jambo.
Vijana wakishangia kwenye kampeni hiyo.
Picha ya pamoja kati ya viongozi wa soko hilo na viongozi kutoka EfG.
No comments:
Post a Comment