Najua kuna
watu wangu mnafuatilia mchakato wa uteuzi wa kumpata mgombea urais
Marekani. Dolnad Trump ni moja ya wagombea wa Republican ambao
wamechukua headline sana na anaonekana kama kuelekea kufanikiwa hivi,
usishangae ikaishie anaingia white house.
Mwanasiasa
huyu mtata amezaliwa sehemu ambayo wazazi wana pesa, lakini mali zake
zimekuwa zikiongezeka kutokana na biashara zake, sasa ana miaka 69 na
ana utajiri wa unaokadiriwa kufika Dola bilioni 8.7 kwa takwimu za june
2015. Donald Trump alianza kufanya kazi kwenye kampuni ya baba yake na
akanza kupiga mpaka deal kubwa ukitaka kuufahamu zaidi utajiri wa
mwanasiasa huyu na billionare angalia picha hizi hapa chini.
Enzi za ujana wake Donald
Akionekana na helkopita yake mwenyewe
Hii ni moja ya Uwanja wake wa Gofu uliopo Washington DC
Ndege yake aina ya Boeing 727-23
muonekano wa ndege kwa ndani
.
.
.
.
Donald Trump na Mkewe Melania Knauss Trump
Mjengo wa Donald Trump
Muonekano wa Ndani wa mjengo wa Trump
.
Hili ni eneo lake jingine la kuishi, Palm beach Florida
Hili ni eneo la Swimming pool kwenye nymba yake ya kuishi
hapa ni nyumba ya zamani ya Trump
Huu ni mwonekano wa ndani wa nymba ya Trump ya zamani
Ukumbi wa Cinema kwenye mjengo huo
Unaweza ukaangalia moja muonekano wa Dining room kwenye mjengo wake huo wa zamani
.
No comments:
Post a Comment