Wachezaji
wa timu ya netiboli ya Uchukuzi Sports Club, Grace Mwasote (kushoto
mwenye mpira) akizuiwa na Johari William wakati wa mazoezi ya timu hiyo
kwenye Uwanja wa Bandari, Kurasini mwishoni mwa wiki. Timu hiyo
inajiandaa kwa mashindano ya Mei Mosi yatakayofanyika mjini Dodoma,
Mary Kajigili (kulia) na Sharifa Mustafa
Maimuna Ayelo (kulia) akirusha mpira huku Mayasa Hamidu (kushoto) akiuzuia.
Tatu Kitula mmoja wa wafungaji tegemeo akijiandaa kurusha mpira.
Matalena
Mhagama mfungaji mkongwe pia wa timu ya Taifa ya netiboli(kushoto),
akizuiwa na Sharifa Mustafa (kulia) huku Mary Kajigili (kushoto
nyuma),akiangalia.
Maimuna
Ayelo (kushoto) akidaka mpira huku Subira Jumanne akijiandaa kumzuia
katika mazoezi ya timu ya netiboli ya Uchukuzi yaliyofanyika kwenye
uwanja wa Bandari Kurasini, wakijiandaa na mashindano ya Mei Mosi.
Imetolewa na kitengo cha Sheria na Mahusiano – TAA
No comments:
Post a Comment