Bastola iliyotumika kumuu kijana mweusi Trayvon Martin inaonekana imeondolewa kutoka kwenye mauzo ya mtandaoni.
George Zimmerman, ambaye alimpiga risasi na kufa kijana huyo wa miaka 17, alipanga kuipiga mnada bastola hiyo kwenye tovuti ya Gun Broker.
Kianzio cha mauzo ya bastola hiyo ambayo muuaji alirejeshewa na polisi kilikuwa ni kuanzia dola 5,000.
George Zimmerman alitumia bastola yake kumuua kijana mweusi nchini Marekani, kwa madai alifanya hivyo katika kujilinda na Mahakama ilimuachia huru.
No comments:
Post a Comment