Thursday, 12 May 2016

Sikiliza hapa wimbo mpya wa Ali Kiba Ft M.I ‘Aje’, M.I Kaimba Kiswahili Pia.

Hii kazi mpya ya Alikiba kafanya na rapa MI kutoka Nigeria, Wimbo huu umepewa jina Aje. Kwenye wimbo huu katajwa Wema Sepetu na Lulu Micheals.

Mnigeria M.I kaongea Kiswahili kwenye wimbo Huu. Ali Kiba yuko chini ya lebel ya Rockstar pamoja na Jide,



No comments: