Thursday, 12 May 2016

Producer ataka malipo kwa kugundua kipaji cha Iggy Azalea.

Pruducer mkubwa aliyeshinda tuzo ya Grammy kupitia kazi zake bora amefungua kesi ya madai dhidi ya staa wa Rapa Iggy Azalea.

Jon Jon Trax amedai kuwa mwaka 2009 alisaini mkataba na Iggy Azalea ila rapa huyu alimkimbia baada ya kupata mchongo wa Def Jam mwaka 2013.
Producer huyu aliyefanya kazi na Beyonce, Keyshia Cole na Lecraeanataka ametaka fidia ya dola milioni 1.5 akidai kuwa mkataba wake na Iggy ulikuwa kama ataenda kwenye lebel nyingina basi ataendelea kumlipa asilimia flani ya mapato yake ia Iggy hajafanya hivyo.

No comments: