Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili
katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma wakati akitokea mjini Dar es
Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga mara
baada ya kuwasili katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
ukielekea Dodoma kutokea mjini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment