Mtalaka wa Mzee Nelson Mandela,
Winnie Mandela amejikuta akigonga mwamba mahakamani baada ya shauri
lake alilofungua la madai ya kupewa umiliki wa nyumba ya Mandela
iliyopo Kijiji cha Qunu, kutupiliwa mbali.
Kama hiyo haitoshi mahakama pia
imemtaka Winnie Mandela alipe gharama za kesi hiyo, baada ya
kushindwa katika kesi hiyo.
Marehemu Nelson Mandela ambaye
alikuwa ni rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini mwaka 1994, ameacha
wosia nyumba hiyo kuwa imilikiwe na familia yake.
|
No comments:
Post a Comment