Mitandao ya udaku nchini Marekani imeripoti kuwa mgombea wa urais
Hillary Clinton amemtemblea Beyoncé kwenye
utengenezwaji wa video yake
ambayo itakuwa na wazazi wa watoto waliopoteza maisha kwenye mikono ya
polisi kama Mama wa Trayvon Martin, Tamir Rice na Mike Brown.
“Beyonce alikuwa anafanya video yake na Hillary akaja bila watu kufahamu” waliandika Us Weekly.
Mpaka sasa msemaji wa Hillary Clinton anasema jambo hilo halijatokea.. |
No comments:
Post a Comment