Mkurugenzi wa shirika la
Utangazaji Tanzania (TBC) Bw.Ayoub Ryoba akiwasilisha taarifa ya
shirika hilo kwa wajumbe wa wa kamati ya kudumu ya Bunge ya huduma na
Maendeleo ya jamii kuhusiana na upanuzi wa masafa ya usikivu kisarawe
Pwani.Wengine pichani ni Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo
Mhe.Nape Nnauye,Naibu Waziri wa wizara hiyo Bi.Anastazia Wambura na
mwenyekiti wa kamati hiyo Bw.Peter Serukamba. |
No comments:
Post a Comment