Viongozi
Shrika la Taifa Hifadhi ya Jamii NSSF wakiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya wakandarasi wa daraja la Kigamboni wakati lilipofunguliwa kwa
ajili ya kupita magari kupita bure huku watembea kwa miguu na waendesha
baiskeli wakipita bure. Daraja hilo litazinduliwa rasmi na Rais Dk. John
Magufuli Jumanne tarehe 19.4.2016.
Meneja
Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Karim Mataka akiwa katika eneo
la daraja la Kigamboni mara baada ya kufunguliwa kwaajili ya kupita
magari na waenda kwa miguu.
Meneja
Mradi wa Ujenzi wa Daraja ala Kigamboni, Karim Mataka (katikati)
akionyesha barabara za kuingilia darajani upande wa Kigamboni.
Maeneo ya kuingilia darajani na kulipia tozo katika daraja la Kigamboni upande wa Kigamboni.
Ofisi mbalimbali zilizopo katika daraja la Kigamboni kikiwepo Kituo cha Polisi.
Magari yakipita kwa mara ya kwanza katika daraja la Kigamboni bila kulipa tozo.
No comments:
Post a Comment