Muigizaji mkubwa wa filamu Tanzania Ray Kigosi amefunguka kuhusu stori aliyowahi kupiga na marehemu Steven Kanumba wakati wa uhai wake. “Hapa mambo yakaanza kuwa mazuri kwa upande wetu tukainyanyua tasnia ya filamu Tanzania na kila mtu akawa anatamani kuwa muigizaji . Ila kuna siku niko kwake tukimuangalia Felix Wazekwa akicheza style za Michael Jackson akaniamba unajua nini broo? “Siku zote vizuri havidumu” Na kweli my broo hukudumu ila kauli yangu ni moja tu pumzika kwa amani” Alisema Ray Kigosi
R.I.P Kanumba aendelee kupumzika kwa amani.
No comments:
Post a Comment